Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 4,718
- 3,804
Unaweza kuwa sahihi.1. Mpangilio wa vyumba hauko vizuri. Inafaa zaidi master br kuwa upande wake na hivi vyumba vingine upande mwingine.
2. Ukitaka kutokea kwa nyuma lazima upite jikoni. Hii siyo sahihi
3. Sitting room haitakua na mwanga wala hewa ya kutosha
4.vyumba vyote viwe self contained ili kupunguza adha ya kuzunguka na taulo kwenye korido au kungojeana ili kutumia choo au kuoga
5.
Ila kuna watu wanamitazamo tofauti, mfano, kuna anayependelea chumba cha watoto wa kike kikae mbali na wakiume, ataweka wapi kwa kipato chake kinachoruhusu nyumba ya ukubwa huo halafu master pia aiweke mbali.
Umesema kuongeza kila chumba na choo chake, ukubwa huo wateja wengine hawawezi hasa wale waliotoka kupanga chumba na sebule, wakajibana wakaweza kujenga house ya ramani hiyo.
Kupita nyikoni ukienda uani hilo sio tatizo kwa watu wengi mana jiko sio chumba cha kulala.
Mzunguko wa hewa sebuleni, unaweza kuwa mzuri yakiwekwa madirisha makubwa na uelekeo kutegemea site ilivyo. Sebule kumbuka ni mpaka dinning ndio mana pale pakatenganishwa na uwazi ambao unachukua hewa kupitia madirisha ya dinning.
Kila mtu ana vionjo vyake, kibaya kwako chaweza kuwa kizuri kwake.