Uko mkoa ganGari yangu imeanza kusumbua lkn tatizo cjui, ni carina automatic gear,inawaka safi,unaweka gear D kama kawaida ila RPM ikifika juu ya 2 inakuwa kama ipo katika N yaani neutral sasa cjajua tatizo nini, nilishasafisha sample na chekeche, msaada wa mawazo ya kiufundi wadau.