Msaada wa Tatizo la gari yangu

Msaada wa Tatizo la gari yangu

Osaba

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
1,937
Reaction score
781
Gari yangu imeanza kusumbua lkn tatizo cjui, ni carina automatic gear,inawaka safi,unaweka gear D kama kawaida ila RPM ikifika juu ya 2 inakuwa kama ipo katika N yaani neutral sasa cjajua tatizo nini, nilishasafisha sample na chekeche, msaada wa mawazo ya kiufundi wadau.
 
Uko mkoa gan
 
tatizo hapo ni gearbox.... lugha ya mtaani wanasema inatema....

kama upo dar unaweza kupeleka safari auto garaje wapo vizuri sana... wataicheki gari upya na kugundua matatizo/tatizo yote kabla hawajaanza kutengeneza

usipeleke kwa mafundi wa chini ya miembe hawa ni wapiga ramli ndio kama hivyo sijui umechekecha
 
Tatizo ni kwenye gear box kuna kitu kinaitwa mountain gear (sina hakika na spelling) naenda garage
 
Back
Top Bottom