Msaada wa tatizo la Kiafya

Msaada wa tatizo la Kiafya

RAJ SIMBA

Member
Joined
Apr 26, 2020
Posts
15
Reaction score
9
Habar za mida ndugu zangu. Mimi nahitaji msaada wenu kuna tatizo linanisumbua.

1. Katikati ya kifua na tumbo panavuta Sana kwa ndani mpaka nahisi kama nimeweka mzigo mkubwa maana nahisi uzito.

2. Nahisi Ganzi kichwani, Mbavuni, tumboni na hii inapelekea mbavu na kifua kuhisi kama nimebanwa vile au Ngozi zinajivuta na kujikaza kiasi ambacho inapelekea kukosa balance wakati wa kutembea nakuwa napepesuka hivi mpaka inafikia hatua nandondoka kwa kukosa balance.

Naombeni ndugu zangu mnijuze ni ugonjwa gani huu na unatokana na nini?
 
Wahi hospital mkuu.

NAKUSHAURI kimbia hospital Mapema kabla TATIZO halijawa kubwa.

NENDA kacheki afya yako.
 
Nenda hospital kubwa mkuu ukawaone wataalam, maDr wa magojwa ya ndani uwanja wenu huu.
Pole sana mkuu, ukapate utatuzi wa maradhi yako
 
Back
Top Bottom