Msaada wa tatizo la kusinzia kila mara na kupepesuka

Msaada wa tatizo la kusinzia kila mara na kupepesuka

babadullah

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2017
Posts
508
Reaction score
319
Wakuu nina tatizo la kukosa nguvu za miguu na kusinzia muda wote nimeeenda hospital wamesema ni low BP.

Ninasinzia tu tangu asubuhi na nikitembea napepesuka
Anayejua tiba na nini, tatzo anijuze.
 
huo ugonjwa mm umenisumbua sana zaidi ya miaka 3 sasa
Nilipima BP Normal 120/80
Nilipima Hb 15
Nilipima kipimo cha ECG amana
Nilipima sukari 5.2
Nilipima cholesterol Normal
Nilicheki vidonda vya tumbo hakuna kitu
Ngoja sasa nikupe dalili zangu mimi sijui kama na wewe huko hivi
Kichwa kuuma
Tumbo kujaa gesi
Kifua kinauma kwa mbali sehemu ya chembe ya moyo
Miguu inakosa nguvu kabisa
Na kuna wakati kichwa kinakuwa kizito unajiona unasinzia bila sababu yeyote
hospitali sikupata majibu kabisa
Kila kitu kipo Normal
Nikasema ngoja niende kwenye miti shamba nako sound tu si unajua kwa mganga apakosi nyimbo
Nikaachana kabisa na tiba kutoka pande zote mbili
hospitali na kwa wawichi doctor
Sasa najitibia mwenyewe mwanzo mwisho na nafuu naiyona inshaallah pole sana jamaa yangu
Punguza stress kabisa jipe moyo Mungu mkubwa utapona.
 
Unajitibu na nn mkuu
 
Dalili za mgonjwa wa figo
1) kuvimba miguu
2)kukosa hamu ya kula
3)kukojoa mkojo mara kwa mara
4) kukojoa mkojo wenye rangi ya njano au nyekundu
6) maumivu ya kiuno
7)mwili unachoka total
hizo ni dalili za awali
ugonjwa ukiwa sugu
Dalili
Unapata ugonjwa wa sukari
Unapata ugonjwa wa shinikizo la juu
Matatizo ya moyo
Ukibonyeza ngozi ya mguu wako sehemu yenye steki steki inabonyea kwenda ndani na kuweka kishimo kwa muda
Tumbo linajaa hivi kama mtu mwenye kiriba Tumbo
Kifupi hakuna dalili za mtu mwenye kuumwa ugonjwa wa figo alafu akawa anasinzia sinzia hivi hakuna hiyo dalili

Mimi nimekupa dalili karibu zote wakati ninaumwa
Wewe mwenzangu bado haujafunguka vizuri,
Funguka na dalili zingine ili nikuelekeze dawa za tiba mbadala.
 
Wakuu nina tatizo la kukosa nguvu za miguu na kusinzia muda wote nimeeenda hospital wamesema ni low BP.

Ninasinzia tu tangu asubuhi na nikitembea napepesuka
Anayejua tiba na nini, tatzo anijuze.
hebu kula msosi wa kutosha na kufanya mazoezi ya mwili...., punguza stress, usiku pata muda mrefu wa kulala.

Ikigoma hapo, hospitali panakuhusu tena
 
Back
Top Bottom