Msaada wa tatizo la nguvu za kiume

msaada wa kwanza
1. usitumie dawa
2. acha puli
3. fanyia kazi pychological aspect yako wewe unatatizo la kisaikolojia unatakiwa uanze kukiri hali hiyo
 
msaada wa kwanza
1. usitumie dawa
2. acha puli
3. fanyia kazi pychological aspect yako wewe unatatizo la kisaikolojia unatakiwa uanze kukiri hali hiyo

Puli nimeacha ndugu. Nakuaga fiti kisaikolojia ndo mana nimesema ivo
 
Habari. Mimi ni mpharmacia. Nakushauri anza kutumia dawa inaitwa erecto 50mg. Itakupa erection na hauta kuangusha kabla kufanya sex.
Hu ugonjwa una sababisha na upunguvu wa damu kupita kwenye mboo.
Hiyo dawa nunua tu konye maduka ya pharmacy.
 
Kama kuna yoyote mwenye msaada ama kumjua "mganga" ama "fundi" anayeweza kunisaidia tatizo hili.naombeni msaada
 
Acha sigara kama unavuta

Acha pombe kali hasa za viroba kama ni mnywaji

Jitayarishe kisaikologia kabla ya mechi

Acha kuangalia picha za ngono kama ni mpenzi wa picha hizo

Fanya mazoezi mepesi kila asubuhi na jioni kama unatumia muda mwingi ofisini au unategemea usafiri wa gari kukufikisha kazini

Acha kutumia muda mwingi katika Luninga au computer

Kuwa na uchaguzi mzuri wa chakula wakati wote siyo kula chips mayai,na vyakula vyenye mafuta mengi au wanga kila siku,pendelea vyakula vya kienyeji au vilivyochemshwa zaidi.

Jaribu haya machache kwanza uone mabadiliko vinginevyo wahi Hospitali kwani umri wako bado mdogo ukiendelea kuuonea haya huo ugonjwa utashindwa kuoa na ukifika miaka 40 unaweza ukawa hanisi kamili.
 
Habari. Mimi ni mpharmacia. Nakushauri anza kutumia dawa inaitwa erecto 50mg. Itakupa erection na hauta kuangusha kabla kufanya sex.
Hu ugonjwa una sababisha na upunguvu wa damu kupita kwenye mboo.
Hiyo dawa nunua tu konye maduka ya pharmacy.

Asante mdau. Je hiyo ni tiba ya moja kwa moja ama ni kwa erection tu?
 
Asante mdau. Mimi si mtumiaji wa pombe wala sigara.
Vyakula nakula sana vyetu hivi vya kiafrika.
Nakua fiti kisaikolojia kabla ya mechi.. na mengineyo
Ndo mana nimehisi kua hili ni tatizo la "kiufundi zaidi"
Asante kwa ushauri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…