Msaada wa tatizo la nguvu za kiume

Msaada wa tatizo la nguvu za kiume

Pole sana kaka huo ni ugonjwa na unatibika, mimi mwenyewe ni shuhuda wa hilo mnamo mwaka 2002 baada ya kumpata binti ambaye nilimpenda kwa moyo wangu wote kilatukikutana tufanye mapenzi mimi nashindwa kitu kinastuka kidogo tu harafu kinasinyaa. nikamweleza akanielewa tukaanza kutafuta tiba mimi na yeye, tulihangaika sana wamasai walininywesha sana dawa zao, tukaenda hospitali ya sekoutule Mwanza, nikakutana na daktari mmoja kijana mdogo tu akanielekeza dawa nikaenda nunua phamas sh 12,000/= nikampelekea akanichoma sindano moja tu inauma sana kwani nilishindwa kutembea nikakaa kwa dakika 20. Basi tokea siku hiyo sikuamini kama nimepona mashine iko vizuri saaaana yaani ukigusa tu kitu mpaka mwisho wa mchezo. Polesana kaka kwani hata mimi nilichanganyikiwa.
 
asante kwa ushauri wako ndugu
 
usitumie dawa za chemical kwa maradhi yako.....tengeza dawa hii itakusaidia Insha-Allah:

-Chukua vitungu saumu(Thomu) au Gallic kwa kingereza kilo 2.
-Vichemshe vitunguu hivyo kwa kumia maziwa ya ng'ombe safi...ungepata ya mbuzi ingekua bora zaidi.Chemsha mpaka viwive na yaanze kukauka.
-Chukua asali Safi..ichemshe kidogo tu. Kiasi ya kutoka povu..ambalo ni sumu...utalitoa kile povu..
-chukua vitunguu vyako ambavyo vimewiva na kukauka...tia kwenye asali yako.....chemsah tena.
-Chukua kilo poja tende...isage kwa blender mpaka iwe laini..unaweza kutika maziwa kidogo ile ni fluide...utachanganya na vitu vya hapo juu....utaweka kwenye friji na utakua unakula vijiko vi3 mara 3kwa siku...kwa muda wa siku 5 mpaka 7...Kikawaida hii dozi ya siku 21....

Ukitaka kujua kwa nini warabu wanweza kumzalisha mwanamke hata wakiwa na miaka 80...sababu ndo io apo juu.....

Wacha Punyeto! Mbumbavu!
 
Pole sana kaka huo ni ugonjwa na unatibika, mimi mwenyewe ni shuhuda wa hilo mnamo mwaka 2002 baada ya kumpata binti ambaye nilimpenda kwa moyo wangu wote kilatukikutana tufanye mapenzi mimi nashindwa kitu kinastuka kidogo tu harafu kinasinyaa. nikamweleza akanielewa tukaanza kutafuta tiba mimi na yeye, tulihangaika sana wamasai walininywesha sana dawa zao, tukaenda hospitali ya sekoutule Mwanza, nikakutana na daktari mmoja kijana mdogo tu akanielekeza dawa nikaenda nunua phamas sh 12,000/= nikampelekea akanichoma sindano moja tu inauma sana kwani nilishindwa kutembea nikakaa kwa dakika 20. Basi tokea siku hiyo sikuamini kama nimepona mashine iko vizuri saaaana yaani ukigusa tu kitu mpaka mwisho wa mchezo. Polesana kaka kwani hata mimi nilichanganyikiwa.

dawa gani?
 
Nipm nitakupa dawa itakayoondoa hilo tatizo lako na kwako itakuwa historia.mimi siyo mganga wa kienyeji ila ipo dawa(tiba ya virutubisho).hakika!! Utakuja kusimulia wewe mwenyewe hapa!!
 
Hongera mkuu taja hapa kwa faida ya wote
 
Mkuu utakuwa umeponya watu wengi kama utaiweka wazi hiyo dawa, maana tupo wengi wahanga wa hilo janga pls ndg funguka 2 mkuu wa2 tupone
 
Yes na mambo ya PM sio mazuri ni vyema mtu akafunguka live hapa jukwaani kwa faida ya wote
Nami nasumbuliwa na tatizo kama hili la kukosa ashki kwa mwanamke but nimetoa uzi kaja kwa maneno ya faraja kama haya ila nimemuuliza kua ni dawa gani anapatikana wap na anauzaje?but kawa kimya tú
Labda yuko bize tuwe na subra tú
 
Pole sana kaka huo ni ugonjwa na unatibika, mimi mwenyewe ni shuhuda wa hilo mnamo mwaka 2002 baada ya kumpata binti ambaye nilimpenda kwa moyo wangu wote kilatukikutana tufanye mapenzi mimi nashindwa kitu kinastuka kidogo tu harafu kinasinyaa. nikamweleza akanielewa tukaanza kutafuta tiba mimi na yeye, tulihangaika sana wamasai walininywesha sana dawa zao, tukaenda hospitali ya sekoutule Mwanza, nikakutana na daktari mmoja kijana mdogo tu akanielekeza dawa nikaenda nunua phamas sh 12,000/= nikampelekea akanichoma sindano moja tu inauma sana kwani nilishindwa kutembea nikakaa kwa dakika 20. Basi tokea siku hiyo sikuamini kama nimepona mashine iko vizuri saaaana yaani ukigusa tu kitu mpaka mwisho wa mchezo. Polesana kaka kwani hata mimi nilichanganyikiwa.
kaka habari mi naomba namba ya huyo dr au unaweza kumbuka hiyo dawa inaitwaje?
 
Tatizo ni dogo sana, tafuna punje 2 za kitunguu swaumu asubuhi ,mchana na jioni kwa muda wa mwezi mmoja.PLease njoo tupe feedback hata baada ya siku 3 ya utumiaji.Garlic si mchezo mkuu.
 
kazi ya garlic mwilin tafazal
 
Mkuu utakuwa umeponya watu wengi kama utaiweka wazi hiyo dawa, maana tupo wengi wahanga wa hilo janga pls ndg funguka 2 mkuu wa2 tupone

Kumbe dari lina siri kubwa na nyingi ehh, God is good
 
Ndg tupo wengi ambao hatuna amani na hili,tunaomba msaada wako,naomba mawasiliano yako but namba yangu ni 0712063649.plz ndg yangu msaada tafadhari.
 
Mkuu Stanley tafuta kitabu cha Dr Paul Nelson kinaitwa UFUNDI KATIKA KUPENDA, huenda kikawa na msaada.
Pole mkuu, usihofu sana hilo tatizo linatibika.
 
Ndg plz kama unakumbuka hizo dawa nisaidie au namba ya doctor huyo ya simu kwa mawasiliano yangu ya ni 0712063649.nitashukuru kwa msaada wako.
 
Back
Top Bottom