Vp kijana ulipona hili tatizo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vp kijana ulipona hili tatizo?
Naona uko obssessed sana baada ya kukuambia ukweli...huna hela ya kununua S8 tuliza mshindo...nabishana na 23yrs jogoo aliwiki
Kijana jikite kwenye shughuli za kimaendeleo kwa mustakabali wako
nabishana na 23yrs jogoo aliwiki
Kijana jikite kwenye shughuli za kimaendeleo kwa mustakabali wako
Nafukua kaburi boss..Kama kuna yoyote mwenye msaada ama kumjua "mganga" ama "fundi" anayeweza kunisaidia tatizo hili.naombeni msaada
Mkuu hiyo ilikuwa dawa gani... Wenye shida hiyo wengi aiseePole sana kaka huo ni ugonjwa na unatibika, mimi mwenyewe ni shuhuda wa hilo mnamo mwaka 2002 baada ya kumpata binti ambaye nilimpenda kwa moyo wangu wote kilatukikutana tufanye mapenzi mimi nashindwa kitu kinastuka kidogo tu harafu kinasinyaa. nikamweleza akanielewa tukaanza kutafuta tiba mimi na yeye, tulihangaika sana wamasai walininywesha sana dawa zao, tukaenda hospitali ya sekoutule Mwanza, nikakutana na daktari mmoja kijana mdogo tu akanielekeza dawa nikaenda nunua phamas sh 12,000/= nikampelekea akanichoma sindano moja tu inauma sana kwani nilishindwa kutembea nikakaa kwa dakika 20. Basi tokea siku hiyo sikuamini kama nimepona mashine iko vizuri saaaana yaani ukigusa tu kitu mpaka mwisho wa mchezo. Polesana kaka kwani hata mimi nilichanganyikiwa.
Yani humu utaskia mtu kapona lakin ukimuuliza kapona kwa njia zipi au dawa gani hawasemi utaskia ni pm, weka hapa kila mtu aone atakaejaribu na yeye akipona ataleta mrejesho, tusiwe wachoyo kwenye magonjwa ndomana wa Africa hatuendelei kwasabu ya roho hizo hivi wazungu wangekuwa na roho hizi kama za kwetu huku si tungekufa na magonjwa?manake asilimia99 madawa wamevumbua wao sio madawa tu kila kitu sisi huku wachoyo.tubadilike jaman inawezekana Mungu anawapa wale akili kubwa kwasababu ya hizi roho mbaya.Mkuu hiyo ilikuwa dawa gani... Wenye shida hiyo wengi aisee
cc ni black kla kituYani humu utaskia mtu kapona lakin ukimuuliza kapona kwa njia zipi au dawa gani hawasemi utaskia ni pm, weka hapa kila mtu aone atakaejaribu na yeye akipona ataleta mrejesho, tusiwe wachoyo kwenye magonjwa ndomana wa Africa hatuendelei kwasabu ya roho hizo hivi wazungu wangekuwa na roho hizi kama za kwetu huku si tungekufa na magonjwa?manake asilimia99 madawa wamevumbua wao sio madawa tu kila kitu sisi huku wachoyo.tubadilike jaman inawezekana Mungu anawapa wale akili kubwa kwasababu ya hizi roho mbaya.
sijui tumerogwa na nani manake ukifkiria sana hii ngozi unaweza ukakufuru.cc ni black kla kitu
Atakuja tena aseme zimezidiTatizo ni dogo sana, tafuna punje 2 za kitunguu swaumu asubuhi ,mchana na jioni kwa muda wa mwezi mmoja.PLease njoo tupe feedback hata baada ya siku 3 ya utumiaji.Garlic si mchezo mkuu.
Habari. Mimi ni mpharmacia. Nakushauri anza kutumia dawa inaitwa erecto 50mg. Itakupa erection na hauta kuangusha kabla kufanya sex.
Hu ugonjwa una sababisha na upunguvu wa damu kupita kwenye ****.
Hiyo dawa nunua tu konye maduka ya pharmacy.
Tafuta mwanamke mmoja wa kufanya nae mapenzi, huenda ukawa unawaogopa wanawake. Huyo mmoja atakusaidia kuwazoea wanawake. Usifanye mapenzi ya nusu saa mmeachana lala nae usiku mzima au kutwa nzima ukiona hisia kurudi unagegeda. Usilazimishe kama huna hisia uonekane kidume utashindwa na ndipo tatizo litaongezekaPuli nimeacha ndugu. Nakuaga fiti kisaikolojia ndo mana nimesema ivo
Mbona husemiMkuu hiyo ilikuwa dawa gani... Wenye shida hiyo wengi aisee
Hakukuwa na sababu ya kutoa uzi mwingine unaofanana na huu uliopoMbona husemi
Hiyo dawa inaitwaje?Pole sana kaka huo ni ugonjwa na unatibika, mimi mwenyewe ni shuhuda wa hilo mnamo mwaka 2002 baada ya kumpata binti ambaye nilimpenda kwa moyo wangu wote kilatukikutana tufanye mapenzi mimi nashindwa kitu kinastuka kidogo tu harafu kinasinyaa. nikamweleza akanielewa tukaanza kutafuta tiba mimi na yeye, tulihangaika sana wamasai walininywesha sana dawa zao, tukaenda hospitali ya sekoutule Mwanza, nikakutana na daktari mmoja kijana mdogo tu akanielekeza dawa nikaenda nunua phamas sh 12,000/= nikampelekea akanichoma sindano moja tu inauma sana kwani nilishindwa kutembea nikakaa kwa dakika 20. Basi tokea siku hiyo sikuamini kama nimepona mashine iko vizuri saaaana yaani ukigusa tu kitu mpaka mwisho wa mchezo. Polesana kaka kwani hata mimi nilichanganyikiwa.
Alikuonyesha?kuna rafiki yangu uume wake ukisimama haunyooki unajikunja kama ndizi msaada wenu tafadhali.