kitariko
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 462
- 412
Habari za mwaka mpya wadau
-Naombeni msaada wenu nina miaka 23 nimekua na tatizo la nguvu zetu kwa muda mrefu sana. Sijawai kusex mpaka sasa.
-Nikiwa na hamu nikifika kwa demu after foreplay hamu inakata kabisa.
-Si-erect 100% enough kwa penetration.
-Punyeto napiga sometimes then na-cumm tu kama kawaida ( naamini punyeto sio chanzo kwani tatizo lilianza hata kabla sijajua punyeto)
-pia naamini sio tatizo la kisaikolojia naamini ni tatizo la "kiufundi" zaidi.
-siamini kama nitafiti kwenye definition ya "hanisi" kwa kua 'nashutuka' japo sio tosha kwa kujamiiana.
Hivyo basi naombeni kwa hali na mali wadau wa jamii hii kubwa kunisaidia sana kwani naamini miongoni mwetu kuna walishapatwa na tatizo kama langu ama kwa jamaa zao .
Nahitaji msaada wenu kwani pamoja na mambo mengine naona umri wa kuoa na kua na familia ushafika ama bado kidogo (inategemea).
Napatikana kwa urahisi sana Dar ama mikoa ya Kaskazini (moshi, arusha, tanga sio mbaya pia) japo haina shida msaada ni popote pale.
Asante wadau na Mungu awabariki sana.
halo pole sana mdgo wangu kwa tatizo hilo dgo ,kubali au ukatae kwa maelezo yako una tatizo la kisaikolojiaa wala sio nini na hii ilitokea pale ulipaanza kujiona kuwa huna nguvu za kiume ukaanza kujiua mwenywe kifikra,ww bado naamni una nguvu zako zote,cha kufanya kuwa huru unapokuwa na mwanamke,pili chukua uume wako usugue kweny kinembe cha mwanamke during sex preparation hapo lazima ngoma ikae sawa