Umefanyia kazi ushauri huu DreezyD98Hilo tatizo mbona kama ni physically damage na sio software errors?
Jaribu kuitumia kama monitor chukua PC nyingine kisha chomeka VGA cable kwenye PC yako uone kama ita display
Kioo kibovuNinaomba anayejua jinsi ya kufix tatizo hili kwenye PC anisaidie.
Nimejaribu kuupdate graphics.
Nimeinstall window mpya lakini tatizo bado lipo.
kuna muda huwa screen inakuwa sawa.
Kuna muda screen inazingua kama hivyo.
Chief-Mkwawa
Ninatanguliza shukrani
View attachment 2733348
Nimeambatanisha picha hapaView attachment 2733348