carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,562
- 285,591
Kuna kuwaga na maudhi madogomadogo baada ya kuchomwa hiyo sindano na moja wapo ni hali hiyo ya kuumwa mgongo,miguu na kichwa.
Na ndiyo maana wagonjwa hawashauriwi kuinua kichwa ama kuongea ongea sana mara baada ya kufanyiwa upasuaji.
Mshauri mgonjwa afanye mazoezi,anywe maji mengi na apate muda wa kupumzika.
Maumivu yakizidi amuone daktari