Msaada wa tiba matatizo ya kutapika mfululizo wakati wa ujauzito

rais wako

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2015
Posts
605
Reaction score
513
,Natumai mu wazima wa afya

Mimi nina mke mke wangu yaan yeye toka siku alipogundulika kua ana ujauzito anatapika mfululizo non stop kwa siku ata mara sita,sometime anatapika nyogo kila atakachokula anatapika,nasistiza kila atakacjoingiza mdomo anatapika chotee sasa ivi anaenda hospital tuu kuwekewa drip za maji lakini madaktari.

wanasema mimba ipo sehemu yake na mtoto anaendelea kuku vizuri hii ni mimba yake ya kwanza sasa nimeona niwashirikishe ndugu zangu mnisaidie kwa mawazo tatizo litakua ni nn na wale wenye experience ya hii kitu wanipe uzoefu wao

nahitaji msaada wenu wa hali na mali
 
Mkuu hata mimi mke wangu anatatizo kama la mkeo yani hawajapishana hata kidogo yani kila anachoweka mdomoni kinatoka na madaktal wengi hushauri kipindi hiki cha mwanzo cha miezi mitatu mama mjamzito anatakiwa ale vyakula vyenye virutubisho vingi sana kwa sababu ndio kipindi ambacho kiumbe kinahitaji virutubisho ili kuimarisha ukuaje wake sasa kama mtu anatakiwa ale then anatapika sijui inakuaje hapo. NGOJA WAJE WATAALAM HAPA HUENDA WAKAWA NA MAWAZO PEVU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…