rais wako
JF-Expert Member
- Jul 18, 2015
- 605
- 513
,Natumai mu wazima wa afya
Mimi nina mke mke wangu yaan yeye toka siku alipogundulika kua ana ujauzito anatapika mfululizo non stop kwa siku ata mara sita,sometime anatapika nyogo kila atakachokula anatapika,nasistiza kila atakacjoingiza mdomo anatapika chotee sasa ivi anaenda hospital tuu kuwekewa drip za maji lakini madaktari.
wanasema mimba ipo sehemu yake na mtoto anaendelea kuku vizuri hii ni mimba yake ya kwanza sasa nimeona niwashirikishe ndugu zangu mnisaidie kwa mawazo tatizo litakua ni nn na wale wenye experience ya hii kitu wanipe uzoefu wao
nahitaji msaada wenu wa hali na mali