Msaada wa tiba ya ugonjwa huu kwenye uume

Mjumbe sijaona uchi hapo. Jamaa kaonyesha sehemu ya ngozi iliyoathirika tu.
 
Yan kiukwelii mwenyewe nimeshangaa sana haya Mambo ya kuweka maumbile hadharani kama hivi
 
Niko nimepata this infection but sijapata muwasho Wala kuumia. Nimetumia cream but bado haijasaidia ni mwezi sasa. Please msaada

Mkuu pole
Hapo nenda tu hospital humu watu wengi hawezi kukusaisia zaidi ya kukuzomea
upo kwenye primary stage hiyo kitu ikisambaa ni shida wahi mapema utibiwe
Usipuuzie hata kidogo kwenye maswala ya uzazi
Kama pesa inasumbua nenda pharmacy kubwa mwelezea umuoneshe na hiyo picha usijisikie aibu pole lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…