Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Kwani Kuna shidoooo in bambo voice.Umeshindwa kuicrop hiyo sehemu yenye tatizo mpaka uanike Via vyako hapa?
Kwani Kuna shidoooo in bambo voice.Umeshindwa kuicrop hiyo sehemu yenye tatizo mpaka uanike Via vyako hapa?
😁😁Kwani Kuna shidoooo in bambo voice.
Sio kibamia hicho????Tumefanyaje??
Sijakupata mkuuMshangazi wapi kwa name zako.
Halafu cha kushangaza ni nyuchi za jinsia yetu tu! Huwezi kuwakuta wenzetu wa upande wa pili wanajianika humu jukwaani.Tumeanza tena kuweka vizazi hadharani!..
ila hii jinsia yetu bhana badala mtu aende hospitali anakuja kuweka picha hapa!, moderator msiichekee hii tabia watu wamezidi sasa hata hospitalini kuna private kati ya mgonjwa na daktari iweje hapa mnakubali nyuchi zinawekwa hadharani mbele ya watumiaji lukuki tena wenye umri tofauti tofauti!!.
babu mnatuaibisha nendeni hospitali.
Hilo Luvuz sasa,hihihiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiNiko nimepata this infection but sijapata muwasho Wala kuumia. Nimetumia cream but bado haijasaidia ni mwezi sasa. Please msaada
hao hawawezi kuweka wanaume sijui tumerogwa na nani..!Halafu cha kushangaza ni nyuchi za jinsia yetu tu! Huwezi kuwakuta wenzetu wa upande wa pili wanajianika humu jukwaani.
Dx: Common Warts (Sunzua)Niko nimepata this infection but sijapata muwasho Wala kuumia. Nimetumia cream but bado haijasaidia ni mwezi sasa. Please msaada
Kwani huku kuna watoto, shida iko wapi wacha wataalamu waje kumsaidia dawaTumeanza tena kuweka vizazi hadharani!..
ila hii jinsia yetu bhana badala mtu aende hospitali anakuja kuweka picha hapa!, moderator msiichekee hii tabia watu wamezidi sasa hata hospitalini kuna private kati ya mgonjwa na daktari iweje hapa mnakubali nyuchi zinawekwa hadharani mbele ya watumiaji lukuki tena wenye umri tofauti tofauti!!.
babu mnatuaibisha nendeni hospitali.
Siyo vizuri jamani kwani hapo si bado haijasimama
wewe wasema kwasababu sio jinsia yako si ndivyo unaona raha tu!Kwani huku kuna watoto, shida iko wapi wacha wataalamu waje kumsaidia dawa
Mataahira mkuu hayajaisha dunia hii!Tumeanza tena kuweka vizazi hadharani!..
ila hii jinsia yetu bhana badala mtu aende hospitali anakuja kuweka picha hapa!, moderator msiichekee hii tabia watu wamezidi sasa hata hospitalini kuna private kati ya mgonjwa na daktari iweje hapa mnakubali nyuchi zinawekwa hadharani mbele ya watumiaji lukuki tena wenye umri tofauti tofauti!!.
babu mnatuaibisha nendeni hospitali.
Bila picha Uzi aujakamilika.Tumeanza tena kuweka vizazi hadharani!..
ila hii jinsia yetu bhana badala mtu aende hospitali anakuja kuweka picha hapa!, moderator msiichekee hii tabia watu wamezidi sasa hata hospitalini kuna private kati ya mgonjwa na daktari iweje hapa mnakubali nyuchi zinawekwa hadharani mbele ya watumiaji lukuki tena wenye umri tofauti tofauti!!.
babu mnatuaibisha nendeni hospitali.
Nianze na ww hii inajitoshereza hiyo katika nyapu yako?🏃Siyo vizuri jamani kwani hapo si bado haijasimama
Hiyo ni Genital warts.Ni ugonjwa wa zinaa Kama yalivyo magonjwa mengine.Ni ugonjwa ambao husababishwa na virus aina ya HPV.Na Kama yalivyo magonjwa mengine ya virusi nayo pia ni ngumu kupona,unaweza kufanya kila namna ukahisi kupona kumbe Bado inatembelea kwenye seli na unazidi kuambukiza na hata kizazi chako.
hii lesion ni common warts, are not sexually transmitted; they are caused by certain strains of the human papillomavirus (HPV) and are spread through direct skin contact or contact with contaminated surfaces, not sexual contact.Via vyenyewe km vya popo 😹Umeshindwa kuicrop hiyo sehemu yenye tatizo mpaka uanike Via vyako hapa?