Baba Vladmir
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 413
- 726
Watoto wa 2000's hawa,kila kitu kwao wanarahisisha tuHakika. Na sijui ujasiri huu unatokeaga wapi.
kwani unamfahamu ?Hata kama ni fake lakini huku ni kujidhalilisha hata kama hatukujui
Duniani kwa sasa mtu akitaka akufahamu ni rahisi sana,hata huyu ukitaka kumfahamu unampata vizuri,as long as anatumia device ambayo obvious anatumia kwa mambo yake mengine binafsi,hakuna siri mkuukwani unamfahamu ?
Niko nimepata this infection but sijapata muwasho Wala kuumia. Nimetumia cream but bado haijasaidia ni mwezi sasa. Please msaada
Wapumbavu ni wengi humu,dudu si yake mpaka unaona mtu ameweka hivi yake hapa maana ana hofu.Mi nikadhani mtamshauri anyoe mavumbiMmeanza,najua mngesema mbona hujaweka yote
Duniani kwa sasa mtu akitaka akufahamu ni rahisi sana,hata huyu ukitaka kumfahamu unampata vizuri,as long as anatumia device ambayo obvious anatumia kwa mambo yake mengine binafsi,hakuna siri mkuu
Nasubiria na mdada naye aje aoneshe a avyoumwa hilo tatizo hizo sehemu aoneshe. Mpige picha uliye fanya naye miezi 2 ago sehemu zake za hivyo tulinganisheNiko nimepata this infection but sijapata muwasho Wala kuumia. Nimetumia cream but bado haijasaidia ni mwezi sasa. Please msaada
Tumefanyaje??
Mshangazi wapi kwa name zako.
Labda hajaona hivi siku nyingi mkuu.sasa uhangaike kumtafuta kwa lipi, mtu ameeleza shida yake ya kiafya anatafuta msaada
Wengine wadangaji mkuu...anajiuzaTumeanza tena kuweka vizazi hadharani!..
ila hii jinsia yetu bhana badala mtu aende hospitali anakuja kuweka picha hapa!, moderator msiichekee hii tabia watu wamezidi sasa hata hospitalini kuna private kati ya mgonjwa na daktari iweje hapa mnakubali nyuchi zinawekwa hadharani mbele ya watumiaji lukuki tena wenye umri tofauti tofauti!!.
babu mnatuaibisha nendeni hospitali.
virusNiko nimepata this infection but sijapata muwasho Wala kuumia. Nimetumia cream but bado haijasaidia ni mwezi sasa. Please msaada
Inashangaza sanaAisee kitu gani kimekufanya mpaka uuamini huu mtandao unajipost tumia akili Kuna makundi ya whatsap ya madaktar unasaidiwa Bure ebu futa unajidharirisha utu
Tumia ointment yaNiko nimepata this infection but sijapata muwasho Wala kuumia. Nimetumia cream but bado haijasaidia ni mwezi sasa. Please msaada
Kwa nn hujatairiwa kwanza?Niko nimepata this infection but sijapata muwasho Wala kuumia. Nimetumia cream but bado haijasaidia ni mwezi sasa. Please msaada