Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Rough Rider OGNiko nimepata this infection but sijapata muwasho Wala kuumia. Nimetumia cream but bado haijasaidia ni mwezi sasa. Please msaada
===
Maoni ya mdau
Rough Rider OGNiko nimepata this infection but sijapata muwasho Wala kuumia. Nimetumia cream but bado haijasaidia ni mwezi sasa. Please msaada
===
Maoni ya mdau
Vita ya nini tena?Unataka vita ya Congo ihamie hapa?
Ah mi hii nimetumia nimegonga mwamba hakuna hata dalili ya kuponaMkuu tumia hii unapona
Weka imani then utapona.Niko nimepata this infection but sijapata muwasho Wala kuumia. Nimetumia cream but bado haijasaidia ni mwezi sasa. Please msaada
===
Maoni ya mdau
Mbona hata mwili wako hauko sawa kwa kuangalia hiyo mikono YakoNiko nimepata this infection but sijapata muwasho Wala kuumia. Nimetumia cream but bado haijasaidia ni mwezi sasa. Please msaada
===
Maoni ya mdau
Hilo ua sijawahi kuliona, japo hizo warts ninavyo viwili usoni kwenye shavu sivipendi nasikia eti vinasambaa sijui kweli!Nikirudi kwenye mada husika hizi ni warts. Dawa View attachment 3292676View attachment 3292677
Okay, relax. Get yourself right. Confront this is not a tough job. RelaxHilo ua sijawahi kuliona, japo hizo warts ninavyo viwili usoni kwenye shavu sivipendi nasikia eti vinasambaa sijui kweli!
Kuna mama nilimuona navyo usoni hadi shingoni uwii hadi nakaogopa hivi vyangu visije sambaa
Hujamwambia hiyo dawa anapoipata mkuu watu wamefocus kwenye kumtukana badala ya kumsaidia kitabu hiyo duduMkuu tumia hii unapona
Nikirudi kwenye mada husika hizi ni warts. Dawa View attachment 3292676View attachment 3292677Mkuu huu mmea kwa nchi yetu unapatikana ukanda upi?
Wewe ni shemela Kwa LamomyVita ya nini tena?
Mzabzab is a love maker not war maker
Mwee kwani mashemeji hawagegedani...unaweza ukampindua tuu LamomyWewe ni shemela Kwa Lamomy
😹😹😹 Mzabzab mtani wangu bhana, we mkubalie uje utuambie kibamia chake kipoje.🤣Wewe ni shemela Kwa Lamomy