Msaada wa tiba ya ugonjwa huu kwenye uume

Nikirudi kwenye mada hizi ni warts, sio hatari sana. Nilishawahi kunitokea chini ya kidevu nikaweka Utomvu wa Mexican poppy zikaisha.
 
Nikirudi kwenye mada husika hizi ni warts. Dawa
 
Hilo ua sijawahi kuliona, japo hizo warts ninavyo viwili usoni kwenye shavu sivipendi nasikia eti vinasambaa sijui kweli!

Kuna mama nilimuona navyo usoni hadi shingoni uwii hadi nakaogopa hivi vyangu visije sambaa
Okay, relax. Get yourself right. Confront this is not a tough job. Relax
 
Magonjwa ya aibu hayo.punguza ngono zembe afsa
 
Ina maana madem wa humu wao hapatagi shida kwny vidungurushi vyao wakapiga picha na sisi tukaona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…