Msaada Wa Tiba Ya Uvimbe Mkubwa Kwenye Paja.

Director-k

Member
Joined
Mar 12, 2014
Posts
88
Reaction score
26
Habari Za Asubuhi.

Nina Mdogo Wangu Ana Uvimbe Mkubwa Kwenye Paja Kwa Juu Karibia Na Makende. Uvimbe Huu Hua Unajirudia Rudia Ameshafanyiwa Operation Mara 2 Lakin Baada Ya Muda Kama Miez 3 Na Kuendelea Unarud Tena. Sasa Msaada Ninautaka Toka Kwenu Ni:-

(1) Mwenye Uwezo Wa Kutoa Tiba Au Ushauri Atusaidie.
(2) Mwenye Kujua Hospitali Nzuri {dar} Atuelekeze ili Tupkapate Tiba Sahihi Na Ya Uhakika.

Natanguliza Shukrani Zangu Za Dhat Kwenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…