Msaada wa topic ya Genetics

Msaada wa topic ya Genetics

kabilili

Member
Joined
May 30, 2012
Posts
50
Reaction score
4
Naomba mnisaidie wana JF,

Hivi wazazi wote wawil wenye Albinism, kuna uwezekano wa kuzaa mtoto asiye Albino? Ikiwa ni kwel inawezekanaje?
Nisaidien ndugu zangu..
 
naomba mnisaidie wana jf. hivi wazazi wote wawil wenye albinism, kuna uwezekano wa kuzaa mtoto asiye albino? ikiwa ni kwel inawezekanaje?
nisaidien ndug zangu.

Mkuu, hizi calculations ni probability ila ngoja nikujibu.

Kwanza tukumbuke mwanaume hawezi kuw Carier wa ugonjw wowote maana Y Hain sehem ya kuhifadhi kitu, so ikitokea weaknes yeyote lazima ionekane, ila Mwanamke XX anaweza kuwa carrier.

Tuchukulie mfano genes za albinsim ziwakilishwe na herufu a ndogo.


Albinism ni moja ya tabia zilizo weak, so kwa mwanamke ni lazima awe XaXa hapa ataonekan albino, ikitokea akawa XaX hapa atakuwa carrier, ila mwanamme akiwa YXa hapa lazima awe albino.

Nimeamua kuzunguka ilikukujuza hayo then twende kweny jibu.

Ukifanya cross katika ya
Baba albino YXa na
Mama albino XaXa

Utapata watoto wa hiv
YXa,YXa,XaXa,XaXa ambao wote watakuwa albino......
 
Albnisim sio X-linked disorder so hiyo mechanism sizan kama iko sahihi
 
Naomba mnisaidie wana JF,

Hivi wazazi wote wawil wenye Albinism, kuna uwezekano wa kuzaa mtoto asiye Albino? Ikiwa ni kwel inawezekanaje?
Nisaidien ndugu zangu..

Well, hili swali laweza kujibiwa kirahisi sana kama kuna wazazi wawili ambao wote ni zeruzeru na kama wana watoto.

Kama wana watoto, angalia tu kwa macho yako hao watoto wakoje, bingo, jibu lako utapata!
 
Back
Top Bottom