Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 337
- 753
Ningechagua umeme wa nyumbani au magari. Kati ya hizo mbili.Habari!
Ni muda sasa nimekuwa nikitafakari kwenda VETA kwaajili ya kusomea fani moja wapo miongoni mwa fani zifuatazo;-
i)Umeme wa magari
ii)Umeme wa majumbani
iii)Udereva
Nimekuja kwenu kuomba ushauri/msaada kwa kuzingatia uzoefu wenu pamoja na upana wa soko la kujiajiri/ajira kwenye fani hizo lakini pia unaruhusiwa kupendekeza fani zingine tofauti na hizo kama nyongeza.
Muhimu: Kupendekeza fani zingine na kuelezea ubora wake tofauti na hizo inaweza kuwa na msaada kwa wengine wengi zaidi.
Ahsante mkuu na kozi yake inachukua muda gani mpaka kuwa vizuri zaidi.Ningechagua umeme wa nyumbani au magari. Kati ya hizo mbili.
Nimekuelewa, ngoja nianze na udereva kisha niangalia upepo umekaaje.Zote hizo ni nzuri ukichukua yoyote kati ya hizo ni dope tu ila umeme wa magari hapo yaweza kuchukua muda zaidi hadi kuja kuwa na uzoefu unaotakikana baada ya mafunzo so kama unahitaji quick skill hizo mbili ni dope zaidi
Hii office machinery inahusu nini mkuu.Zote Hizo Nzuri Ila Umeme Wa Nyumba Naona Ni Mzuri Ila
Tazama Na Hizi Pia Endapo Veta Unayotaka Kusoma Wanafundisha
office Machinery
A/C AndRefrigerator
OFFICE ATTENDANCE
Sasa Ukipata Za Muda Mfupi Ama Mrefu
Kutengeneza Photocopies Machines, Fax ,Printer Na Vingine Vya Aina HiyoHii office machinery inahusu nini mkuu.
Ahsante.
Anhaa! Sawa umeongezea fani nyingine yenye faida.Kutengeneza Photocopies Machines, Fax ,Printer Na Vingine Vya Aina Hiyo
Kijana mambo. Umeme wa Magari wanafundishi VETA ya wapi.?Habari!
Ni muda sasa nimekuwa nikitafakari kwenda VETA kwaajili ya kusomea fani moja wapo miongoni mwa fani zifuatazo;-
i)Umeme wa magari
ii)Umeme wa majumbani
iii)Udereva
Nimekuja kwenu kuomba ushauri/msaada kwa kuzingatia uzoefu wenu pamoja na upana wa soko la kujiajiri/ajira kwenye fani hizo lakini pia unaruhusiwa kupendekeza fani zingine tofauti na hizo kama nyongeza.
Muhimu: Kupendekeza fani zingine na kuelezea ubora wake tofauti na hizo inaweza kuwa na msaada kwa wengine wengi zaidi.
Safi, pekua kwenye hii file mkuu.Kijana mambo. Umeme wa Magari wanafundishi VETA ya wapi.?
Ahsante.Umeme wa magari then udereva.