Msaada wa udhamini kwaajili ya chuo

Msaada wa udhamini kwaajili ya chuo

R1C50N

Member
Joined
Oct 22, 2022
Posts
6
Reaction score
10
Habari,

Poleni na majukumu, mimi ni kijana ninae hitaji kusoma kwa level ya chuo na nimepata nafasi ya kuchaguliwa WATER INSTITUTE (Bachelor of water resources and irrigation engineering) ambapo ada kwa mwaka mzima ni 1670000 Ninashindwa kulipa Ada ya chuoni ili niweze kusajiliwa

Ninaomba msaada wako iliniweze kusoma, ninaishi na mzazi mmoja (mama) na hana uwezo WA kunisomesha NAOMBA msaada wako.

Nipo tayari kutoa vyeti vyangu kuthibitisha uhitaji wangu Cheti changu cha form four original, Kadi au namba ya NIDA, Cheti cha kuzaliwa na chochte utakacho hitaji ili Tu niweze kuendelea na Masomo vizuri.

msaada wako nimuhimu sana ili kuniwezesha kufikia ndoto zangu. sina wakunishika mkono katika hili
Mungu akubariki

Namba yangu ni 0678156114
 
Mo foundation naskia wanatoa mikopo kwa waliookosa ngoja nkutafutie link kuomba dead line 29 october
 
- Chuo kikuu ni level katika system ya elimu ambayo mtu yeyote mwenye ufaulu mzuri anaweza fika kama akihitaji.

- What makes you different from others? and why should people invest in you and not others?

N.B
Ukijibu vizuri unaweza motivate watu wengi wakusaidie.
 
Mtafute jamaa mmoja anaitwa Malisa GJ facebook Ingia inbobo umuombe msaada wanaweza kukuchangia
 
Postpone mwak uje uapply mwakan vizuri kabisa ,na utapata 100% saiv tafuta kazi
Usimhakikishie kupata mkopo, kuna yatima wengi wanakosa mikopo pamoja na kukidhi vigezo vya hovyo vya kusoma shule za serikali. Kilio cha kukosa mkopo huku ulijiaminisha kwa vigezo hakumithiliki.
Mwache apigane hadi tone la mwisho,mlango utakapomfungukia ndipo atakapoingilia... Maisha ni vita
 
Back
Top Bottom