adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Mwaka huu nimeshudia Yatima na Tasaf wakipewa nyingi 50% mambo ya 100% imekuwa zilipendwa.Usimhakikishie kupata mkopo, kuna yatima wengi wanakosa mikopo pamoja na kukidhi vigezo vya hovyo vya kusoma shule za serikali. Kilio cha kukosa mkopo huku ulijiaminisha kwa vigezo hakumithiliki.
Mwache apigane hadi tone la mwisho,mlango utakapomfungukia ndipo atakapoingilia... Maisha ni vita