Msaada wa ufadhili wa masomo kwa huyu binti

Hauko sereas,,, mpaka apatikane wa kumpush ndiyo utoe details zote? Utakwama pakubwa sana
 
Mwambie aachane na Advance, akasome Diploma. Apply mkopo HESLB deadline August 31. Hii misaada atapewa ataenda muhula mmoja mtoa msaada ataacha kutoa yatajirudia yale yale.
 
Ahsante kwa mawazo ndugu
Mwambie aachane na Advance, akasome Diploma. Apply mkopo HESLB deadline August 31. Hii misaada atapewa ataenda muhula mmoja mtoa msaada ataacha kutoa yatajirudia yale yale.
 
Kuwa na shida sio sababu ya kuanikwa hapa? Kumsaidia mtu si mpaka uone matokeo yake hapa. Mfuate pm omba details utapewa sio kila mtu ni mwema humu!
I understand ila jinsi alivyo andika ni very simple sana mtu anaweza hisi tapeli
 
Huwezi ukatoa msaada bila
Kufatilia kwa kina utakuwa una shida we mtoaji!
Kuna namna ya uandishi unayo mfanya mtu atoe hata kama hakuwa na huo mpango, binafsi Nimetoa ushauri tu, na kila mtu anaona mambo kivyake
 
Aolewe .

Mume akiona haja atamuendeleza.
 
Anapaswa kuwa shule, tumchangie basi hata kwa kuanzia huko mbele itafahamika, fedha inayohitajika kwa sasa ni kama 320,000
Aolewe.

Mume akiona haja ya kumuendeleza kielimu atamuendeleza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…