Msaada wa ufafanuzi kuhusu wanafunzi walioomba kujiunga na vyuo vya afya

Galamtogela

Senior Member
Joined
Aug 25, 2013
Posts
102
Reaction score
27
Hivi wanafunzi wanaoomba kujiunga na vyou vya afisa pia wanafanya on-line registration katika mfumo wa central addimission system.au inakuwaje majina ya waliochaguliwa yanatolewa kwenye website ya wizara au inakuwaje?naombeni msaada jamani
 
Jamaani naombeni msaada mi niliaply afya nikachaguliwa masasi nikaconfirm then nashangaa kwenye prfle yangu naambiwa continue with apps sasa cjui kama nimechaguliwa au la
 
yapo kwenye website ya nacte.unasearch jina au email yako ndo unajiona au subiri tar 18 july
 
yapo kwenye website ya nacte.unasearch jina au email yako ndo unajiona au subiri tar 18 july

NACTE ni wahuni na wapuuzi. Tarehe 10 kuna jamaa yangu ilionekana kwenye web kachaguliwa kwenda chuo cha tanga, dentist therapist. Wanasema kuthibitisha press confirm button. Hii button haionekani kabisa. Tarehe 11.7, nikafungua tena wakasema the selection is in process. Jana 12.7 ambayo ndo siku waliyoweka kama deadline ya ku-confirm, waliweka kwenye address ya huyu dogo eti he is not selected. Ukipiga simu zao hawapokei. Yaonekana kuna ufisadi wa hali ya juu kwenye nafasi hizi. Nasubili kuwashkisha adabu kama watamkatalia kwani nilikuwa naprint malezo yao kwa kila tarehe
 
Namba walizotoa nyingi hazipatikani, kuna moja ilikua inaita tu hadi inakatika, ukiwatumia sms napo hawajibu, sijui namba walitoa za nini kama hawataki kuskiliza matatizo ya watu, mi kwenye selection nimechaguliwa lakini nikiangalia profile yangu imeandikwa checking in progress hadi leo.Nilitaka niwaulize inakuajee, niombee upya au ndo tayari nimepata chuo.Wananiacha na hewani tu. Ila ndo nchi yetu jamani, siasa nyingi ikifika kwenye utekelezaji poor.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…