Wakuu,mim ni mwalimu wa sekondari,nafundisha masomo ya sayansi,naomba mnisaidie niweze kuhama toka Wilaya ya Rombo kwenda Wilaya ya Hai--kilimanjaro ambapo familia yangu ipo...nimehangaika sana....naombeni mwongozo
ongea vizur na afisa elimu au afisa taaluma na hata ma-ps na pia pale masijala mchomoe mmoja chonga nae mbona kitaeleweka tu?,penye nia pana njia na penye uzia penyeza rupia.kila la kheri