Msaada wa ukokotoaji wa kodi kwa magari

Msaada wa ukokotoaji wa kodi kwa magari

Status
Not open for further replies.

Nyangomboli

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2010
Posts
3,501
Reaction score
1,956
Wakuu, natamani ku bid gari la mwaka 2004 ambalo ni la ubalozi. Ni TOYOTA LANDCRUISER, SUBARU FORESTER. Nikibid kwa mfano M4 kwa kila moja au mojawapo wa hayo hapo juu, ushuru unaweza kuwa kiasi gani? Natanguliza shukrani zenu. yameingia nchini mwaka huo wa 2004. naogopa kuingia kichwakichwa TRA wasije nitoa kamasi. Thanks in advance wakubwa.
 
Jaribu na hii xls.sheet
 
Attachments

jf nimewakubali kwa ushiirikiano thanks god keep it up
 
Jaribu na hii xls.sheet

Mkuu Thanks Very Much...Nilitaka leta gari toka Japan kwa CFI ya 12USD...Inafika 21m.Toka Japan...Na show room iko kwa bei hiyo hiyo...
So better nichukuliea dar.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom