Msaada wa Usafiri Kahama kwenda Mbeya

Msaada wa Usafiri Kahama kwenda Mbeya

Joined
Oct 12, 2014
Posts
78
Reaction score
48
Habari,

Naomba msaada wa kufahamishwa kuhusu usafiri wa kutoka Kahama kwenda Mbeya na gharama zake

Ahsante
 
Panda mabasi yanayo toka mwanza au geita, ukifika Dodoma shuka panda ya mbeya yapo hapo , kama ukikosa panda linalo enda njombe au iringa ukifika iringa stand Igumbilo unganisha ya mbeya yapo kibao.

(huu ushauri ni iwapo ukikosa la moja kwamoja kahama to mbeya) ndipo una weza fuata huu ushauri.
 
Panda gari zitakazo kufikisha dodoma ndo utafika mbeya
 
Habari,

Naomba msaada wa kufahamishwa kuhusu usafiri wa kutoka Kahama kwenda Mbeya na gharama zake

Ahsante
Asbhi kesho kuna Mabasi yanatoka Mwanza nenda pale njia Panda ya Tinde

Kapricon ya mbeya to mwanza au isamilo au
 
Back
Top Bottom