Panda mabasi yanayo toka mwanza au geita, ukifika Dodoma shuka panda ya mbeya yapo hapo , kama ukikosa panda linalo enda njombe au iringa ukifika iringa stand Igumbilo unganisha ya mbeya yapo kibao.
(huu ushauri ni iwapo ukikosa la moja kwamoja kahama to mbeya) ndipo una weza fuata huu ushauri.