Crumpy Crumper
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,348
- 3,305
Thank you mkuumkuu kuna msemo wa kizungu unasema " confronting complex equations the simple solution is most often the correct"
usikae kuumiza kichwa sana sababu umeshajaribu sehemu nyingine ukaona wewe uko okey in both side problem us your partner with her tings ambayo yako yanamsumbua jibu ni moja tu mwambie ukweli kwamba kuna one and two haiko okey na shida ni yy sio ww ukiona haelewi " simple solution is ofter correct "
Usigune mpeleke pale akatibiwe kaka!!!!!anaombewa anapona
Tatizo sijamuowa anakaa kwao na mimi nakaa kwangu ni wapenzi tu wa mda mrefu ni mwanafunzi uyo mwanamke mkuu na kwao ni wakali kweli wanamchunga kama dhahabu alafu nipo mbali sana na dar nipo huku SongeaUsigune mpeleke pale akatibiwe kaka!!!!!anaombewa anapona