Msaada wa ushauri jamani Please usipite bila kushauri chochote

mkuu kuna msemo wa kizungu unasema " confronting complex equations the simple solution is most often the correct"

usikae kuumiza kichwa sana sababu umeshajaribu sehemu nyingine ukaona wewe uko okey in both side problem us your partner with her tings ambayo yako yanamsumbua jibu ni moja tu mwambie ukweli kwamba kuna one and two haiko okey na shida ni yy sio ww ukiona haelewi " simple solution is ofter correct "
 
Thank you mkuu
 
Siku aliyokuambia ana majini na Saikolojia yako ikayumba
 
Mpeleke Tandika kwa sheikh Damba yatakwisha yote hayo
 
Usigune mpeleke pale akatibiwe kaka!!!!!anaombewa anapona
Tatizo sijamuowa anakaa kwao na mimi nakaa kwangu ni wapenzi tu wa mda mrefu ni mwanafunzi uyo mwanamke mkuu na kwao ni wakali kweli wanamchunga kama dhahabu alafu nipo mbali sana na dar nipo huku Songea
 
Hapo kuna haja gani ya kuomba msaada wakati tatizo umesha liona liko wapi,
 
Mkuu nenda kwenye maombi zaidi ya hapo utaliwa hela..
 
Back
Top Bottom