Bi dentamol
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,018
- 2,130
AiseeeNi mdada anamchumba wake wanamwaka sasa,,,,jamaa amekua na tabia ya kuwasiliana kwa siri na wanawake bdada akigundua jamaa anaomba msamaha yanaisha
Jmos wazazi wa mume wamepanga kuja kupanga mahari.
Sasa Jana wakati wanaongea bidada kagundua jamaa anasimu nyingine ambayo yeye haijui na anawasiliana na mwanamke mwingine
Kamuuliza jamaa amekataa kutoa namba za huyo Dada wala hata kuomba tu msamaha,,,,
Bidada anadai astishe zoezi mpaka jamaa atakapoamua kuexplain juu ya hilo au kumuweka wazi bidada juu ya hiyo cm
Anaomba ushaur wenu
ha ha haMwite huyo dada hapa tumtukane kwanza ... Ndo ushauri ufuate.
[emoji23][emoji23][emoji23]Aiseee
Umemaliza kila kitu. Thread closed!Mwambie huyo dada "cheating is like a rainfall, it rains everywhere"
Kama anadhani anaweza kuwa na mwanaume wa peke ake amuumbe yeye. Mwanaume mmoja ni baba tu....
kafata msimamo wa kiume huwa wanasema "mwanaume hakuna kukiri kosa wala kuomba msamaha" hata akidakwa live anagegeda aseme kuna kitu kadondosha ndani ya papuchi anakitafuta hakuna kukubali.Km amemkamata na kosa na hakua tayar kukiri hapo hana chake ajiondoe mapema maana akisema anachotaka ni msamaha atapewa wa kulazimisha na si wa moyoni
Alafu wanaume wote ni walewaleMwambie huyo dada, kama anadhani anaweza kuwa na mwanaume wa peke ake amuumbe yeye. Mwanaume mmoja ni baba tu....
Hata siku yao ya kufunga ndoa akiwa saloon mume anaweza kuwa anagegeda mwingine, mwambie hayo ya kawaida.Alafu wanaume wote ni walewale
Mi ndoa zilishanishinda acha nijidangie tuHata siku yao ya kufunga ndoa akiwa saloon mume anaweza kuwa anagegeda mwingine, mwambie hayo ya kawaida.
Btw huyo bi harusi to be sio wewe mpenzi!!!???
Lkn eve kwa uchumba mbona ni hali ya hatari? bora ingekua ndoakafata msimamo wa kiume huwa wanasema "mwanaume hakuna kukiri kosa wala kuomba msamaha" hata akidakwa live anagegeda aseme kuna kitu kadondosha ndani ya papuchi anakitafuta hakuna kukubali.
Hello men....nawasalimia