Msaada wa ushauri juu ya kufungua consultancy firm, msaada tafadhali....

Eistein

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2011
Posts
1,107
Reaction score
482
Wakuu heshima kwenu
Natumaini hamjambo.

Wakuu mimi ninauelewa na masuala ya kilimo, na mazingira, na pia kwenye kampuni ninayofanya kazi nimeweza kujijengea uwezo mkubwa wa kundika proposal za miradi mbalimbali, Academic research, sera (POLICY), Operational documents, Strategic action plan, nakadhalika.
Lakini mbali ya kwamba nafanya kazi hizo kama moja wapo ya majukumu yangu ya kazi nimeona ni vizuri nikaamua kujiajiri.

Nimewaza nifungue ofisi itakayo kuwa inahusika na ushauri wa kilimo, mafunzo ya kilimo kwa wajasiria mali mbalimbali, kuandika maandiko ya miradi mbalimbali, nakadhalika.

Ninachokihitaji wadau ni hatua za kupitia, au ni mambo gani muhimu napaswa kufanya ili niweze kufanya kazi hii kama legal entity, na kama kuna mtu antanielewesha labda gaharama za kodi TRA, mambo ya vibali vinavyotakiwa, Kwa ujumla kwa makisio gharama za uanzishwaji wa ofisi hii zaweza kuwa kaisi gani?, nitashukuru sana.

Karibuni wadau kwa mawazo na ushauri
Nategemea mengi sana kutoka kwenu

Mungu awabariki.

Maendeleo ya Tanzania yataletwa na watanzania wenyewe.
 
Hongera sana mkuu, kwa ushauri wangu, kazi ya consultancy inahitaji wadau/wateja wako kujenga imani kwako kwanza ndio watakupa kazi, moja ya kuwajengea imani ni ujuzi ulionao kupitia hasa elimu na uzoefu wako, umejieleza vizuri sana malizia na CV yako kukamilisha, pili unaweza anza kwa kujitoea tu ili upate reference n.k.
 
sawa mkuu, nashukuru sana kwa ushauri nitauzingatia.. asante sana
 
Wakuu heshima kwenu
Natumaini hamjambo.

Wakuu mimi ninauelewa na masuala ya kilimo, na mazingira, na pia kwenye kampuni ninayofanya kazi nimeweza kujijengea uwezo mkubwa wa kundika proposal za miradi mbalimbali, Academic research, sera (POLICY), Operational documents, Strategic action plan, nakadhalika.
Lakini mbali ya kwamba nafanya kazi hizo kama moja wapo ya majukumu yangu ya kazi nimeona ni vizuri nikaamua kujiajiri.

Nimewaza nifungue ofisi itakayo kuwa inahusika na ushauri wa kilimo, mafunzo ya kilimo kwa wajasiria mali mbalimbali, kuandika maandiko ya miradi mbalimbali, nakadhalika.

Ninachokihitaji wadau ni hatua za kupitia, au ni mambo gani muhimu napaswa kufanya ili niweze kufanya kazi hii kama legal entity, na kama kuna mtu antanielewesha labda gaharama za kodi TRA, mambo ya vibali vinavyotakiwa, Kwa ujumla kwa makisio gharama za uanzishwaji wa ofisi hii zaweza kuwa kaisi gani?, nitashukuru sana.

Karibuni wadau kwa mawazo na ushauri
Nategemea mengi sana kutoka kwenu

Mungu awabariki.

Maendeleo ya Tanzania yataletwa na watanzania wenyewe.

Hakika bongo majanga, unasema wewe ni mshauri lakini bado unaomba ushauri uliotakiwa kuutoa kwa wateja,balaa.rudi shule za kata hizi balaa au chuo cha veta nini umesoma.siyo kila mtu anaweza kujiita mshauri,mshauri ni specialist na pekee sana vitu muhimu vihusuvyo regulatory framework siyo issue kwake.
 
Stupid comment! Yeye ni mshauri wa mambo tofauti na anayoomba ushauri.
He is a way clever than you who pretends to know all!
Poor you! :angry:
 
CTO, a consultant who doesn't know how to register a firm or regulatory framework?, shame on u,simply call him/her a clerk, don't fool people."Always truth will leave you free"
 
Last edited by a moderator:
CTO, a consultant who doesn't know how to register a firm or regulatory framework?, shame on u,simply call him/her a clerk, don't fool people."Always truth will leave you free"

Wakuu heshima kwenu
Wakuu
mimi ninauelewa na masuala ya kilimo, na mazingira, na pia kwenye kampuni ninayofanya kazi nimeweza kujijengea uwezo mkubwa wa kundika proposal za miradi mbalimbali, Academic research, sera (POLICY), Operational documents, Strategic action plan, nakadhalika.
Lakini mbali ya kwamba nafanya kazi hizo kama moja wapo ya majukumu yangu ya kazi nimeona ni vizuri nikaamua kujiajiri.

Nimewaza nifungue ofisi itakayo kuwa inahusika na ushauri wa kilimo, mafunzo ya kilimo kwa wajasiria mali mbalimbali, kuandika maandiko ya miradi mbalimbali, nakadhalika.

Ninachokihitaji wadau ni hatua za kupitia, au
ni mambo gani muhimu napaswa kufanya ili niweze kufanya kazi hii kama legal entity, na kama kuna mtu antanielewesha labda gaharama za kodi TRA, mambo ya vibali vinavyotakiwa, Kwa ujumla kwa makisio gharama za uanzishwaji wa ofisi hii zaweza kuwa kaisi gani?, nitashukuru sana.
Look!
The man/woman knows something (that is red colored Italic) and (s)he have sought to use that to open consultation office (that is red colored bold). The knowledge (s)he have is kind of know how (that is green) and needs to know some other things out of his/her know-how (that is grey colored).

So (s)he is neither a consultant yet nor does (s)he know about opening consultation firms. His/Her background is being employee and so its natural to ask such a question. (s)he want to embark on that but not yet there!

Do you agree now that your previous comment was unneccessarily harsh and hence stupid? kanga
 
Back
Top Bottom