Eistein
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 1,107
- 482
Wakuu heshima kwenu
Natumaini hamjambo.
Wakuu mimi ninauelewa na masuala ya kilimo, na mazingira, na pia kwenye kampuni ninayofanya kazi nimeweza kujijengea uwezo mkubwa wa kundika proposal za miradi mbalimbali, Academic research, sera (POLICY), Operational documents, Strategic action plan, nakadhalika.
Lakini mbali ya kwamba nafanya kazi hizo kama moja wapo ya majukumu yangu ya kazi nimeona ni vizuri nikaamua kujiajiri.
Nimewaza nifungue ofisi itakayo kuwa inahusika na ushauri wa kilimo, mafunzo ya kilimo kwa wajasiria mali mbalimbali, kuandika maandiko ya miradi mbalimbali, nakadhalika.
Ninachokihitaji wadau ni hatua za kupitia, au ni mambo gani muhimu napaswa kufanya ili niweze kufanya kazi hii kama legal entity, na kama kuna mtu antanielewesha labda gaharama za kodi TRA, mambo ya vibali vinavyotakiwa, Kwa ujumla kwa makisio gharama za uanzishwaji wa ofisi hii zaweza kuwa kaisi gani?, nitashukuru sana.
Karibuni wadau kwa mawazo na ushauri
Nategemea mengi sana kutoka kwenu
Mungu awabariki.
Maendeleo ya Tanzania yataletwa na watanzania wenyewe.