Msaada wa ushauri kuhusu jeshi

Msaada wa ushauri kuhusu jeshi

Elroysangi

Member
Joined
Jan 11, 2021
Posts
11
Reaction score
3
Wakuu,

Ninaomba ushauri kidogo. Nimemaliza chuo ka degree cha computer science nimekaa kitaa kidogo kwenye kuhangaika na mishe mzee mmoja wa family ana title heavy huko TPDF kisa nna age ndogo 22 na hio degree amesuka mambo niende JKT then afanye connection niingie TPDF.

Family iko kooni niende maana hali kidogo kwangu bado haiko vizuri. Ukakasi ni kuwa story kitaa na kuuliza uliza watu wanasema huko ni kuumana unaweza poteza 2 yrs na urudi kitaa uanze upya, na pia honestly mimi sio mtu wa mazoezi.

So wakuu, niko mbele yenu kuomba ushauri na maoni iko worth it kucheza hio kamari au nikomae kitaa?
 
Usiende kaa nyumbani uendelee kula ugali wa baba.

On a serious note: Hili ni swala lako kuamua.
 
Wakuu,

Ninaomba ushauri kidogo. Nimemaliza chuo ka degree cha computer science nimekaa kitaa kidogo kwenye kuhangaika na mishe mzee mmoja wa family ana title heavy huko TPDF kisa nna age ndogo 22 na hio degree amesuka mambo niende JKT then afanye connection niingie TPDF.

Family iko kooni niende maana hali kidogo kwangu bado haiko vizuri. Ukakasi ni kuwa story kitaa na kuuliza uliza watu wanasema huko ni kuumana unaweza poteza 2 yrs na urudi kitaa uanze upya, na pia honestly mimi sio mtu wa mazoezi.

So wakuu, niko mbele yenu kuomba ushauri na maoni iko worth it kucheza hio kamari au nikomae kitaa?
Watoto wa mama bhana.. unaogopa zoezi?!!

We nenda huko ukapige tize. Kwa degree holder ni kazi nzuri, nahisi
 
Wakuu,

Ninaomba ushauri kidogo. Nimemaliza chuo ka degree cha computer science nimekaa kitaa kidogo kwenye kuhangaika na mishe mzee mmoja wa family ana title heavy huko TPDF kisa nna age ndogo 22 na hio degree amesuka mambo niende JKT then afanye connection niingie TPDF.

Family iko kooni niende maana hali kidogo kwangu bado haiko vizuri. Ukakasi ni kuwa story kitaa na kuuliza uliza watu wanasema huko ni kuumana unaweza poteza 2 yrs na urudi kitaa uanze upya, na pia honestly mimi sio mtu wa mazoezi.

So wakuu, niko mbele yenu kuomba ushauri na maoni iko worth it kucheza hio kamari au nikomae kitaa?
Nenda tu Mzee, ila mwambie huyo Mzee akupe uhakika mana kuna jamaa kule wanasota tu mpaka leo
 
Duuuh kweli hiyo ni bonge la kamali ......anyway unaweza kwenda na ukabahatka coz kila mtu ana bahati yake
 
Nenda mkuu kule uwezekano wa kupata ajira ni mkubwa sana hasa kwa elimu yako,pili usiwaze kuhusu TPDF pekee kule kuna taasisi nyingi tu zinafuata watu wa kuwaajili kama POLICE,magereza na nyinginezo na kwa elimu yako organs nilizotaja kuna stahiki nzuri tu hivyo acha kuskiliza stori za mitaani hivyo nenda kapambane kwa ajili ya maisha yako mwenyewe.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kama mzee wako bado ana muda jeshini we nenda tu, ila kama ndo anastaafu soon , we nenda kabet though itakusaidia hata kama hutoenda TPDF. Nenda dogo utaweza
 
Wakuu,

Ninaomba ushauri kidogo. Nimemaliza chuo ka degree cha computer science nimekaa kitaa kidogo kwenye kuhangaika na mishe mzee mmoja wa family ana title heavy huko TPDF kisa nna age ndogo 22 na hio degree amesuka mambo niende JKT then afanye connection niingie TPDF.

Family iko kooni niende maana hali kidogo kwangu bado haiko vizuri. Ukakasi ni kuwa story kitaa na kuuliza uliza watu wanasema huko ni kuumana unaweza poteza 2 yrs na urudi kitaa uanze upya, na pia honestly mimi sio mtu wa mazoezi.

So wakuu, niko mbele yenu kuomba ushauri na maoni iko worth it kucheza hio kamari au nikomae kitaa?
Unaogopa nini?
 
On your own risk..kuna upendeleo ukabila na kujuana....kama huna network ya uhakika fanya yako...
 
Br nenda tu huwez jua bahati yako.
Na degree yako hii inauzika kabisa yan hata police we fosi
Kuna uhamiaji ukiingia kule utakuja tu kutupa mrejesho.
Hawa wanao kukatisha tamaa achananao.
 
Wakuu,

Ninaomba ushauri kidogo. Nimemaliza chuo ka degree cha computer science nimekaa kitaa kidogo kwenye kuhangaika na mishe mzee mmoja wa family ana title heavy huko TPDF kisa nna age ndogo 22 na hio degree amesuka mambo niende JKT then afanye connection niingie TPDF.

Family iko kooni niende maana hali kidogo kwangu bado haiko vizuri. Ukakasi ni kuwa story kitaa na kuuliza uliza watu wanasema huko ni kuumana unaweza poteza 2 yrs na urudi kitaa uanze upya, na pia honestly mimi sio mtu wa mazoezi.

So wakuu, niko mbele yenu kuomba ushauri na maoni iko worth it kucheza hio kamari au nikomae kitaa?
Kama unadhani unapenda sana jeshi, nenda mwaka kesho kutwa wakati kibwengo 👿 anaondoka.

Otherwise utapoteza 2 years.
 
Back
Top Bottom