lord commander
Member
- Feb 2, 2024
- 23
- 104
Wajuvi habari zenu?
Baada ya kujishauri kwa muda mrefu kuhusu biashara ya kufanya ili walau nipate kipato nimeona suluhisho ni biashara ya stationary.
Na hapa nimeona kuwa wengi huwa wanakuwa na printer tu bila photocopy machine.
Na mimi ili niweze kubalance mtaji nimeona nianze na kimojawapo kati ya printer au photocopy machine.
Hapo sasa wakuu naombeni mnishauri nianze na kipi kati ya copier au printer. Na brand ipi ni nzuri na yenye bei affordable.
Natanguliza shukrani.