lord commander
Member
- Feb 2, 2024
- 23
- 104
Wajuvi habari zenu?.
Baada ya kujishauri kwa muda mrefu kuhusu biashara ya kufanya ili walau nipate kipato nimeona suluhisho ni biashara ya stationary.
Na hapa nimeona kuwa wengi huwa wanakuwa na printer tu bila photocopy machine.
Na mimi ili niweze kubalance mtaji nimeona nianze na kimojawapo kati ya printer au photocopy machine.
Hapo sasa wakuu naombeni mnishauri nianze na kipi kati ya copier au printer. Na brand ipi ni nzuri na yenye bei affordable.
Natanguliza shukrani.
Location ni karibu na chuo mkuu, tena ni usoni kabisaYote sawa Ila hakikisha unafungua stationary yako karibu na Maeneo ya shule .
Kama ni maeneo yenye shule target shule za Advance
Uwe na maswali na majibu na kuwaandalia vitini
Then kuhusu chuo pia hakikisha unakuwa na vitu vyote muhimu Kama VITABU -slide n.k.
Location
Location
Nunua Canon IR 2520 hii mashine ni kama gari haina ya Fiati ni model ya zamani hata bei ni nafuu,hiyo mashine inatoa copy then inaprint black and white.Ukipata mpya kwa Kazi za stationary, baada ya 6years ndio itaanza kukusumbua. Service ndogo ndogo.Mpya namaanisha mpya.Kama kuna Kazi Chache za coloured kama kadi n.k nunua utajipanga na kununia Epson nayo ni mzuri.Kumbuka uwezo wa computer wa utakayemuweka stationary utaamua idadi ya wateja.Bei inatagemeana na Duka na eneo kama upo Dar bei ya Kkoo haifanani na posta wajuzi watakuja kukupa bei.Wajuvi habari zenu?.
Baada ya kujishauri kwa muda mrefu kuhusu biashara ya kufanya ili walau nipate kipato nimeona suluhisho ni biashara ya stationary.
Na hapa nimeona kuwa wengi huwa wanakuwa na printer tu bila photocopy machine.
Na mimi ili niweze kubalance mtaji nimeona nianze na kimojawapo kati ya printer au photocopy machine.
Hapo sasa wakuu naombeni mnishauri nianze na kipi kati ya copier au printer. Na brand ipi ni nzuri na yenye bei affordable.
Natanguliza shukrani.
Location ni karibu na chuo mkuu, tena ni usoni kabisa
Bei ya hii mashine ni kubwa sana kwa sasa sitaimuduNunua Canon IR 2520 hii mashine ni kama gari haina ya Fiati ni model ya zamani hata bei ni nafuu,hiyo mashine inatoa copy then inaprint black and white.Ukipata mpya kwa Kazi za stationary, baada ya 6years ndio itaanza kukusumbua. Service ndogo ndogo.Mpya namaanisha mpya.Kama kuna Kazi Chache za coloured kama kadi n.k nunua utajipanga na kununia Epson nayo ni mzuri.Kumbuka uwezo wa computer wa utakayemuweka stationary utaamua idadi ya wateja.Bei inatagemeana na Duka na eneo kama upo Dar bei ya Kkoo haifanani na posta wajuzi watakuja kukupa bei.
Ushauri wako naufanyia kazi kiongoziNunua Printer ya Epson L850. Inafanya kazi 3 (printing, scanning, copy). Halafu tafuta canon photocopy machine hata used tu ili uanze kuzitafuna hela za wanachuo.
Kwa kuanzia anza kwa kutofautisha haya maneno mawili: stationary na stationery.Wajuvi habari zenu?.
Baada ya kujishauri kwa muda mrefu kuhusu biashara ya kufanya ili walau nipate kipato nimeona suluhisho ni biashara ya stationary.