Usilete utani kwenye mada serious!Hata title yako inaonesha hauko makini kwenye utendaji wako wa mambo. Yaan umekoseaje?! 🤔🤔🤔 ile nambari ya malipo uliyoipata mtandaoni ulishindwa kuinakili mojamoja kwa umakini mpaka ukakosea?! 😳 vocha inakuaje?!
Okay!... Umeshindwa hata kutuliza akili ukaandika kichwa cha mada vizuri kwa kutulia chenye kueleweka?! Humohumo umechanganya spelling za kituruki, kifaransa na kireno! Vijana mna kazi sana! 😔
Cha msingi ni mawasiliano/kufikisha ujumbe