Usilete utani kwenye mada serious!Hata title yako inaonesha hauko makini kwenye utendaji wako wa mambo. Yaan umekoseaje?! π€π€π€ ile nambari ya malipo uliyoipata mtandaoni ulishindwa kuinakili mojamoja kwa umakini mpaka ukakosea?! π³ vocha inakuaje?!
Okay!... Umeshindwa hata kutuliza akili ukaandika kichwa cha mada vizuri kwa kutulia chenye kueleweka?! Humohumo umechanganya spelling za kituruki, kifaransa na kireno! Vijana mna kazi sana! π
Kiongozi, nafikiri ungemshauri kwanza kisha umkosoe kwa upole endapo utajiridhisha kuwa ukosoaji wako unaweza kumsaidia.Hata title yako inaonesha hauko makini kwenye utendaji wako wa mambo. Yaan umekoseaje?! π€π€π€ ile nambari ya malipo uliyoipata mtandaoni ulishindwa kuinakili mojamoja kwa umakini mpaka ukakosea?! π³ vocha inakuaje?!
Okay!... Umeshindwa hata kutuliza akili ukaandika kichwa cha mada vizuri kwa kutulia chenye kueleweka?! Humohumo umechanganya spelling za kituruki, kifaransa na kireno! Vijana mna kazi sana! π
Kama ameshalipa huyu alielipiwa? Fikilia kisha utoe jibu ambalo halitazalisha swali
Inatoa,Kwani control number haitoi jina?
hili jambo ni gumu kutokea ujue zile namba kuzikosea kisha ukazipatia kwa mtu mwingie na kukubali kwa kiwango hichohicho cha pesa ni HAPANA.huyo alikua anajua anachofanyas
Yah control namba za chuo huwa zinadumu katika kipindi Cha mwaka mmoja let's mwΓ nafunzi kapewa namba yenye bill ya 1m atakua anailipa kidogo kidogoKwanini nifikirie zaidi ya ushauri uliolenga 'uwezekano' na sio hitimisho?
Kwa kuwa wote ni chuo kimoja nilidhani ni rahisi kuwa wanafahamiana, hivyo uwezekano wa wao kuonana upoβ¦. hivyo ushauri wangu ni ikiwa tu 'factors' zingine zote ni constant.
Hata hivyo, hivi control number moja inaweza kulipiwa zaidi ya mara moja?
ndio kakudanganya hivyo sasa wacha nikwambie jambo CN inadumu kwa wiki1 mara nyingi na hailipiwi kidogokidogo kamwe,na hata ukipunguza shilingi moja inakataa kulipa pia ukiongeza hata senti inakataa kulipaYah control namba za chuo huwa zinadumu katika kipindi Cha mwaka mmoja let's mwΓ nafunzi kapewa namba yenye bill ya 1m atakua anailipa kidogo kidogo
ndio kakudanganya hivyo sasa wacha nikwambie jambo CN inadumu kwa wiki1 mara nyingi na hailipiwi kidogokidogo kamwe,na hata ukipunguza shilingi moja inakataa kulipa pia ukiongeza hata senti inakataa kulipa
nimesema mara nyingi na si lazima umeelewa nilicho andika,pia tunazungumzia malipo ya chuo niambie ni chuo gani kinapokea malipo ya mwaka mzima yani ufanye mitiani ya UE au end of semester bila kumaliza malipo ya ada ya muhula husikaFicha huu ujuaji wako Dr.
CN inapokuwa generated kuna options iwe valid kwa siku ngapi na pia terms of payment iwe full au partialβ¦. hii yote hutegemea lengo na aina ya malipo.
Bado uko Italy mdogo wetu?!Usilete utani kwenye mada serious!
Cha msingi ni mawasiliano/kufikisha ujumbe
Ni kweli Kamanda... mpaka wewe umenielekeza mwanangu, ni kweli NIMEKOSEA! ππΎππΎMkuu kwani kumkosoa mtu anaeomba ushauri mpaka utumie lugha kali????? Na pia unajua watoto wetu wanaingia vyuo wakiwa na miaka mingapi?????? Pia alieleta uzi huu ni wakala sio mwanafunzi..!!!Hoja au swali linajibiwa kiungwana na sio kwa lugha kali au za kejeli,ndio watu wazima tunavyofanya.
System ya Control number iko so randomly, ukikosea inakataa kwa maana lazima ikupe na jina la anayelipa hiyo huduma. Imekuwaje huyo amekosea? Sema amekosea registration number ya Mwanafunzi naweza kukuelewa.
ndio kakudanganya hivyo sasa wacha nikwambie jambo CN inadumu kwa wiki1 mara nyingi na hailipiwi kidogokidogo kamwe,na hata ukipunguza shilingi moja inakataa kulipa pia ukiongeza hata senti inakataa kulipa
kwa hawa wanafunzi wa leo...sidhaniKama ni chuo kile kile aliyelipiwa kimakosa si atoe tu pesa kumlipia mwenzake.!
HopelessHata title yako inaonesha hauko makini kwenye utendaji wako wa mambo. Yaan umekoseaje?! [emoji848][emoji848][emoji848] ile nambari ya malipo uliyoipata mtandaoni ulishindwa kuinakili mojamoja kwa umakini mpaka ukakosea?! [emoji15] vocha inakuaje?!
Okay!... Umeshindwa hata kutuliza akili ukaandika kichwa cha mada vizuri kwa kutulia chenye kueleweka?! Humohumo umechanganya spelling za kituruki, kifaransa na kireno! Vijana mna kazi sana! [emoji17]
ππWakubwa tumeelewa, alikuwa analipia Danga, sa limegoma kutoa utamu this weekend ndo anataka kurudisha muamala, kiufupi Imeisha hiyo brotherπ€£π€£π€£
Kaoshe kisimi!
Shot n clearonly chuoni can change that. a letter to the accountant to transfer the funds with receipts evidence. it can be done..