Msaada wa ushauri, nimepata mtaji wa tsh. 1,500,000

ulanzi mtamu

Senior Member
Joined
May 19, 2012
Posts
102
Reaction score
11
Habari wadau,narudi tena kwenu kuomba msaada wa ushauri namna ya kufanya biashara kwa mtaji wa kuanzia mil.1.5 NATANGULIZA SHUKRANI!
 
Kutokana na jina lako, 1,500,000/= inatosha sana ,, njoo nikuoneshe bar yenye mademu wazuri.
 
Majina mengine yana cost.
Maana hata kamaupo seriouse vipi basi ni ngumu sana kuwa approached na kupara msaada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…