Msaada wa ushauri, nimepata mtaji wa tsh. 1,500,000

Msaada wa ushauri, nimepata mtaji wa tsh. 1,500,000

ulanzi mtamu

Senior Member
Joined
May 19, 2012
Posts
102
Reaction score
11
Habari wadau,narudi tena kwenu kuomba msaada wa ushauri namna ya kufanya biashara kwa mtaji wa kuanzia mil.1.5 NATANGULIZA SHUKRANI!
 
Majina mengine yana cost.
Maana hata kamaupo seriouse vipi basi ni ngumu sana kuwa approached na kupara msaada.
 
Back
Top Bottom