Hapo ni Rav4 au Escudo old model ndo gari ngumu!Wakuu bajeti niliotenga ni 16M nataka kuvuta usafiri, nahitaji msaada wa ushauri ni gari gani naweza kununua ambayo ina sifa hizi hapa nlizoanisha:-
-Haili sana mafuta ambayo unaweza kuiita economy.
- Gari ngumu ambayo inaweza kuhimili shurba za mara kwa mara kwasababu barabara ninayotumia ni rough road na yenye makorongo ya hapa na pale.
-Upatikanaji wake wa spea kwa hapa tanzania uwe ni wa uhakika.
Nawasilisha.
gari zote ulizozitaja ni mbovu na za stareh .. gari ngumu na economy na upatikanaji wake wa spea ni rahic ni Toyota Hilux , Toyota D4D Hilux .Wakuu bajeti niliotenga ni 16M nataka kuvuta usafiri, nahitaji msaada wa ushauri ni gari gani naweza kununua ambayo ina sifa hizi hapa nlizoanisha:-
-Haili sana mafuta ambayo unaweza kuiita economy.
- Gari ngumu ambayo inaweza kuhimili shurba za mara kwa mara kwasababu barabara ninayotumia ni rough road na yenye makorongo ya hapa na pale.
-Upatikanaji wake wa spea kwa hapa tanzania uwe ni wa uhakika.
Nawasilisha.
Kwa bajeti hiyo magari haya yatakufaa
-Rav 4
-Nissan Murano
-Kruger
-Harrier
-SUV NDOGO yoyote
Tena tafuta hapa hapa Bongo maana kuagiza hizo gari zitakugharimu zaidi
Mkuu mi naona ukiagiza ndo unaweza pata la bei nafuu kidogo ukilinganisha na ukinunua bongo coz huyu mwenye yadi lets say ananunua Japan,kule Japan anakonunua wale wauzaji wanakuwa wamemuuzia bei ya faida,na yeye akilishusha bongo ataweka faida yake hivyo bei ya gari itakuwa juu kidogo!ila akiagiza mwenyewe ina maana same car atalinunua kwa bei ya Japan tu likija bongo tayari linakuwa mikononi mwake moja kwa moja hivyo anakuwa ameipuka gharama ya muuzaji wa yadi!Nilishafanyaga hivyo na nika save some amount!Kwa bajeti hiyo magari haya yatakufaa
-Rav 4
-Nissan Murano
-Kruger
-Harrier
-SUV NDOGO yoyote
Tena tafuta hapa hapa Bongo maana kuagiza hizo gari zitakugharimu zaidi
Hahaaa!mkuu mi nilivyomsoma huyu jamaa naona sio mkata majani wala mtu wa site hivyo hilux kwake naona sio ishu!Nmewaza tu lkngari zote ulizozitaja ni mbovu na za stareh .. gari ngumu na economy na upatikanaji wake wa spea ni rahic ni Toyota Hilux , Toyota D4D Hilux .
Ni yard gani hapa daslam wanakouza Harrier, Murano na Kluger Tsh 16m?Kwa bajeti hiyo magari haya yatakufaa
-Rav 4
-Nissan Murano
-Kruger
-Harrier
-SUV NDOGO yoyote
Tena tafuta hapa hapa Bongo maana kuagiza hizo gari zitakugharimu zaidi
Hakuna mkuu. Hizo ngoma zinachezea 20 and above. Achilia mbali kigezo cha mafuta alichotaja. murano 3000ccNi yard gani hapa daslam wanakouza Harrier, Murano na Kluger Tsh 16m?
Shukrani mkuu lakini hizo gharama zake si ni zaidi ya bajeti yangu?Kwa bajeti hiyo magari haya yatakufaa
-Rav 4
-Nissan Murano
-Kruger
-Harrier
-SUV NDOGO yoyote
Tena tafuta hapa hapa Bongo maana kuagiza hizo gari zitakugharimu zaidi
Ila kluger ni cc 2000 na ushehe na harrier pia ila murano ni cc 3000Hakuna mkuu. Hizo ngoma zinachezea 20 and above. Achilia mbali kigezo cha mafuta alichotaja. murano 3000cc
Chukua hii kamanda suzuki grand escudoWakuu bajeti niliotenga ni 16M nataka kuvuta usafiri, nahitaji msaada wa ushauri ni gari gani naweza kununua ambayo ina sifa hizi hapa nlizoanisha:-
-Haili sana mafuta ambayo unaweza kuiita economy.
- Gari ngumu ambayo inaweza kuhimili shurba za mara kwa mara kwasababu barabara ninayotumia ni rough road na yenye makorongo ya hapa na pale.
-Upatikanaji wake wa spea kwa hapa tanzania uwe ni wa uhakika.
Nawasilisha.
BMW 320Hahaha ni kwl mkuu ni kwa ajili ya route za kazini na kuzunguka town
Ongeza milioni nane nikuachie Discovery 4. Ni nzuri utafurahia achana na toyota family.nimeacha kutumia toyota miaka minne iliyopita so nakushauri chukua magari ambayo watu wanayaogopa.Wakuu bajeti niliotenga ni 16M nataka kuvuta usafiri, nahitaji msaada wa ushauri ni gari gani naweza kununua ambayo ina sifa hizi hapa nlizoanisha:-
-Haili sana mafuta ambayo unaweza kuiita economy.
- Gari ngumu ambayo inaweza kuhimili shurba za mara kwa mara kwasababu barabara ninayotumia ni rough road na yenye makorongo ya hapa na pale.
-Upatikanaji wake wa spea kwa hapa tanzania uwe ni wa uhakika.
Nawasilisha.
Ndo mana nkamwambia ataje hiyo yard kama ipo.Hakuna mkuu. Hizo ngoma zinachezea 20 and above. Achilia mbali kigezo cha mafuta alichotaja. murano 3000cc
Naikubali sana Toyota Hilux D4D ukiwa na safari ndefu na ikiwa kwenye 2H, 1L inaenda zaidi ya km 15gari zote ulizozitaja ni mbovu na za stareh .. gari ngumu na economy na upatikanaji wake wa spea ni rahic ni Toyota Hilux , Toyota D4D Hilux .