Msaada wa ushauri ninunue gari gani kwa bajeti ya 16M

Kiukweli huwa napenda sana toyota hilux d4d
 
Usidanganyike ukanunua magari aina ya discover au defender zina matatizo sana muda wote zenyewe zinavuja oil , garage na wewe... wewe na garage.
 
Mkuu ukiwa huna uhakika na jambo ni vizuri sana ukanyamaza, I mean ukae kimya, hii ni busara zaidi, ikiwa unachoongea ni kweli sidhani kama production ya haya magari ingeendelea.
Tuwe makini sana.
 
Nachoongea nina uhakika nacho mkuu, nilimiliki defender ilinisumbua sana muda wote nilikuwa mtu wa garage, haya magari hata spare zake zipo juu...niliiuza nikanunua hilux double cabin ukweli nimepata pumziko hivi sasa la kwenda garage. Samahani km nimekukwaza mkuu lkn lazima nishuhudie kilichonitokea badala ya kumwacha huyu ndg mwenye 16m yake kaidunduliza kwa shida kisha akanunue gari ambalo kwake litamgharimu kiuendeshaji.
 
hapana huja

hapana hujanikwaza, maana hizi gari nimeshauzia wateja wangu sana tuu, but hawajawahi nilalamikia kuhusu, hilo, sasa ndio maana nimebaki na maswali hapa, anyways yote ni katika kueleweshana.
 
Nachoongea nina uhakika nacho mkuu, nilimiliki defender ilinisumbua sana muda wote nilikuwa mtu wa garage, haya magari hata spare zake zipo juu...niliiuza nikanunua hilux double cabin ukweli nimepata pumziko hivi sasa la kwenda garage. Samahani km nimekukwaza mkuu lkn lazima nishuhudie kilichonitokea badala ya kumwacha huyu ndg mwenye 16m yake kaidunduliza kwa shida kisha akanunue gari ambalo kwake litamgharimu kiuendeshaji.
Mkuu gari moja haliwezi kuwa ndio la kutolea hukumu magari yote ya aina hiyo walau ingekuwa umekutana na matukio kama hayo mara nyingi ungeweza kuwa na haki ya kuhukumu.
 
Hayo magari yote mzigo kuanzia kwenye fuel mpaka spare kamata sedan moja inaitwa TOYOTA ALLION engine size 1490 cc vvt-i mwonekano wa kishua mafuta kidogo spare za kumwaga chenchi inayobaki muagizie mamaa passo
 
Wakuu bajeti niliotenga ni 16M nataka kuvuta usafiri, nahitaji msaada wa ushauri ni gari gani naweza kununua ambayo ina sifa hizi hapa nlizoanisha:-
-Haili sana mafuta ambayo unaweza kuiita economy.
- Gari ngumu ambayo inaweza kuhimili shurba za mara kwa mara kwasababu barabara ninayotumia ni rough road na yenye makorongo ya hapa na pale.
-Upatikanaji wake wa spea kwa hapa tanzania uwe ni wa uhakika.
Nawasilisha.
rav 4 L 1st generation.
 
Ongeza milioni nane nikuachie Discovery 4. Ni nzuri utafurahia achana na toyota family.nimeacha kutumia toyota miaka minne iliyopita so nakushauri chukua magari ambayo watu wanayaogopa.
kuhusu fuel consumption inategemea na mahali unapoend kufanya shughuli zako na foleni.
Ungeweza angalia pia na Audi kama hutapendelea Discovery.
B,R

Mkuu are you serious?? Discovery 4 kwa Mil 24??? That is my dream car. Umelitumia muda gani na consuption yake plus spare parts ikoje?
 
Ngumu isiyoharibika mara kwa mara......kwa 16m...tafuta suzuki escudo au ingia hapo MAIROBI chukuwa Peugot 504 pick up ndani ya box
 
Back
Top Bottom