Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Honda cross road, cc 1760, 7 seat,Kwa bajeti hiyo magari haya yatakufaa
-Rav 4
-Nissan Murano
-Kruger
-Harrier
-SUV NDOGO yoyote
Tena tafuta hapa hapa Bongo maana kuagiza hizo gari zitakugharimu zaidi
KimeoHonda cross road, cc 1760, 7 seat,
Mkuu ukiwa huna uhakika na jambo ni vizuri sana ukanyamaza, I mean ukae kimya, hii ni busara zaidi, ikiwa unachoongea ni kweli sidhani kama production ya haya magari ingeendelea.Usidanganyike ukanunua magari aina ya discover au defender zina matatizo sana muda wote zenyewe zinavuja oil , garage na wewe... wewe na garage.
Nachoongea nina uhakika nacho mkuu, nilimiliki defender ilinisumbua sana muda wote nilikuwa mtu wa garage, haya magari hata spare zake zipo juu...niliiuza nikanunua hilux double cabin ukweli nimepata pumziko hivi sasa la kwenda garage. Samahani km nimekukwaza mkuu lkn lazima nishuhudie kilichonitokea badala ya kumwacha huyu ndg mwenye 16m yake kaidunduliza kwa shida kisha akanunue gari ambalo kwake litamgharimu kiuendeshaji.Mkuu ukiwa huna uhakika na jambo ni vizuri sana ukanyamaza, I mean ukae kimya, hii ni busara zaidi, ikiwa unachoongea ni kweli sidhani kama production ya haya magari ingeendelea.
Tuwe makini sana.
hapana hujanikwaza, maana hizi gari nimeshauzia wateja wangu sana tuu, but hawajawahi nilalamikia kuhusu, hilo, sasa ndio maana nimebaki na maswali hapa, anyways yote ni katika kueleweshana.Nachoongea nina uhakika nacho mkuu, nilimiliki defender ilinisumbua sana muda wote nilikuwa mtu wa garage, haya magari hata spare zake zipo juu...niliiuza nikanunua hilux double cabin ukweli nimepata pumziko hivi sasa la kwenda garage. Samahani km nimekukwaza mkuu lkn lazima nishuhudie kilichonitokea badala ya kumwacha huyu ndg mwenye 16m yake kaidunduliza kwa shida kisha akanunue gari ambalo kwake litamgharimu kiuendeshaji.
Mkuu gari moja haliwezi kuwa ndio la kutolea hukumu magari yote ya aina hiyo walau ingekuwa umekutana na matukio kama hayo mara nyingi ungeweza kuwa na haki ya kuhukumu.Nachoongea nina uhakika nacho mkuu, nilimiliki defender ilinisumbua sana muda wote nilikuwa mtu wa garage, haya magari hata spare zake zipo juu...niliiuza nikanunua hilux double cabin ukweli nimepata pumziko hivi sasa la kwenda garage. Samahani km nimekukwaza mkuu lkn lazima nishuhudie kilichonitokea badala ya kumwacha huyu ndg mwenye 16m yake kaidunduliza kwa shida kisha akanunue gari ambalo kwake litamgharimu kiuendeshaji.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] 109 c bora anunue starletTafuta Land Rover 109 hutojuta
https://https-en-wikipedia-org.0.fr..._id_internal=803478443041409;AfpbDRrq6n-9Evje
rav 4 L 1st generation.Wakuu bajeti niliotenga ni 16M nataka kuvuta usafiri, nahitaji msaada wa ushauri ni gari gani naweza kununua ambayo ina sifa hizi hapa nlizoanisha:-
-Haili sana mafuta ambayo unaweza kuiita economy.
- Gari ngumu ambayo inaweza kuhimili shurba za mara kwa mara kwasababu barabara ninayotumia ni rough road na yenye makorongo ya hapa na pale.
-Upatikanaji wake wa spea kwa hapa tanzania uwe ni wa uhakika.
Nawasilisha.
Ni yard gani hapa bongo wanauza Harrier na Murano 20Mil?Hakuna mkuu. Hizo ngoma zinachezea 20 and above. Achilia mbali kigezo cha mafuta alichotaja. murano 3000cc
Ni yard gani hapa bongo wanauza Harrier na Murano 20Mil?Hakuna mkuu. Hizo ngoma zinachezea 20 and above. Achilia mbali kigezo cha mafuta alichotaja. murano 3000cc
Ongeza milioni nane nikuachie Discovery 4. Ni nzuri utafurahia achana na toyota family.nimeacha kutumia toyota miaka minne iliyopita so nakushauri chukua magari ambayo watu wanayaogopa.
kuhusu fuel consumption inategemea na mahali unapoend kufanya shughuli zako na foleni.
Ungeweza angalia pia na Audi kama hutapendelea Discovery.
B,R
Hakuna. Ndio maana nimemwambia ni juu ya ishirini. Japo kwa kuagiza harrier atapata chini ya 20mil.Ni yard gani hapa bongo wanauza Harrier na Murano 20Mil?
siuzii njaa my friend, ile unauza ili uongeze ununue lingine hapana.Milioni 24 Discovery 4?
Jamani mimi inaonekani ninapitwa sana na vitu. hivi ninani alie tuahidi Noah? maana nasikia tu hapasubiria noah mkuu, hyo bajeti kanunue kiwanja
Iko katika condition gani?siuzii njaa my friend, ile unauza ili uongeze ununue lingine hapana.