Msaada wa ushauri ninunue gari gani kwa bajeti ya 16M

Chukua Harrier bhana, agiza Japan achana na bongo watakuliza, coz Ilotumika tuu yenye namba C watakupiga Milion 14 so angalia uagize nje kama kuna unafuu lkn coz sijaagiza muda kidogo.
 
Shukrani mkuu ntakutafuta
 
Chukua Harrier bhana, agiza Japan achana na bongo watakuliza, coz Ilotumika tuu yenye namba C watakupiga Milion 14 so angalia uagize nje kama kuna unafuu lkn coz sijaagiza muda kidogo.
Shukrani mkuu ngoja nijaribu kucheki na wanaoagiza magari nione
 
Shukrani mkuu ngoja nijaribu kucheki na wanaoagiza magari nione
Niko hapa mkuu kwa magari bora na bei ya kitanzania.
Karibu Autocom Japan Inc
au pia waeza jiunga na group yangu katika whatsap amabyo nawapa ushauri watu na mambo mengine kuhusu magari,
Link Autocom Japan Inc

Milioni 24 Discovery 4?
 
Mkuu naona kimya sijui ushapata, nunua Toyota Carina kama sikosei cc 1380 aizidi 1400cc, ukiweka mafuta ya 30,000 unatembea kilomita mpaka 240 yaani unaenda Moro kula bata, ukipigika kimaisha una uwezo wa kuiuza faster au ukaajili kijana anaifanya Texi unakula 120 per week.
Tena ukipata rangi ya silver pooooa.
Tena ina sifa zote unazozitaka, upatikanaji wake wa spea, gari ngumu, ulaji mafuta.
Tena na chenji inabaki kwa hela yako uliotenga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…