Msaada wa ushauri ninunue gari gani kwa bajeti ya 16M

Kwa hiyo bajeti hupati gari ya maana ya kisasa hv unanunuaje gari ya 1998 mwaka huu ina miaka 20 daahh yani labda km wewe ni mzee unastaafu ndo ununue hizo kijana km wewe unatakiwa uendeshe za kuamzia 2007 na kwa hy bajeti tegemea kupata saloon cars chagua mwnyw zipo kibaoooo na huko mabondeni uhame utaishije mabondeni hama upesi
 
Ulinunua sh ngapi double cabin hilux
 
yoooote nunua lakini Xtrail haaaaaaaapanaaaaaaa ndugu
 
Jamani mimi inaonekani ninapitwa sana na vitu. hivi ninani alie tuahidi Noah? maana nasikia tu hapa
Ingekuwa kula na kutafuna waweza ajiri mtu wa kukufanyia, wengi wangeajiri watu kwa ajili ya kuwalia, kuwatafunia na kuwamezea, ili wao wapumzike mustarehe.
Lakini kuna mambo mengine hauwezi ajiri mtu, lazima wewe mwenyewe uhusike.
Sasa hili la Noah, usiajiri mtu akutafunie, tafuna mwenyewe, ili kila mtu akuone unavyokula na unavyoweza kumeza wewe mwenyewe.
 
Kwa bajeti hiyo magari haya yatakufaa
-Rav 4
-Nissan Murano
-Kruger
-Harrier
-SUV NDOGO yoyote
Tena tafuta hapa hapa Bongo maana kuagiza hizo gari zitakugharimu zaidi
Nunua Subarru Forrester za 2004-2007 au toyota voltz!
 
Hizo mileage mkuu!
 
Ongeza kidogo hapo nakuagizia harrier safi kabisa..Gari za bongo bwana binafsi nimekoma"ikifika17"mm ňakuletea gari uaze ww kutumia kwahapa bongo.0755229028
 

Mkuu vipi discovery 2 bei gani nataka kuagiza cc2500 ya uk
 
Pumba zinginie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…