Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Huenda alitaka kumaaanisha "uppercut punch"AMBA KATI ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huenda alitaka kumaaanisha "uppercut punch"AMBA KATI ni nini?
Ona sasa uko kijijiniHuyu mwanamke ni kituko kweli. Ana zaidi ya miaka 10 kwenye hii taasisi na amekuwa akipandishwa vyeo lakini kwa ufupi ni kilaza/kiazi na mwenye majivuno yasiyo na maana yoyote.
Anaweza akakupa tasks za field halafu ukienda field anakupigia simu anakuuliza upo wapi mbona haupo ofisini! Ukimuambia nipo field anakuuliza wakati wa kwenda umemuaga nani! Ukimuambia ulini assign tasks mwenyewe anakuambia ndiyo najua ila wakati unatoka ofisini ulipaswa uni consult! Mtu unabaki unajiuliza anamaanisha nini! Matukio ya kukwaza na kushangaza ni mengi.
Nimemvumilia sana, sasa natamani nimjibujibu ili aache kunihangaisha ila nawaza anaweza kuniharibia CV yangu. Naomba ushauri wakuu.
Mwanamke yeyote akiwa boss wako usijaribu kumuunderfear hata kidogo ukiweza mjibu kibabe na ukiona vipi siku mtongoze lengo akose confidence kwako .
Nilikuwa na mmama incharge alikuwa ana tuendesha sana kwenye kile kidepartment hasa kwa maneno ya ukali na amri zisizo na staha .
Basi siku moja nikaa bar nikawa na kikao na halmashauri ya kichwa changu juu yake , basi jibu likaja kuwa nikiendelea kumchekea kwa ukali mshenzi wake atanitesa sana , nikaamua kumuonesha kuwa simuogopi alafu sipendi kupelekeshwa kijinga .
Siku moja naingia job namalizia kusaini , naye ndiyo anafika eti ananiuliza kwahiyo siku hizi tunafika muda sawa ?
Nakumbuka nilimwambia wewe ulitakaje mrembo ? Kwanza akastuka mimi kumuita mrembo ilihali kwangu ni mmama , akasema unasemaje wewe mtoto nikasema una shida gani asubuhi hii yote mrembo ?
Nikaona walinzi na wafanyakazi wengine waliosikia majibizano yetu wakahamaki na yeye akakosa confidence akavunga akaenda ofisini kwake .
By saa nne kaniita ofisini kwake akiwa na Mfawidhi alafu akaanza kunichana kuwa pombe itaniharibia kazi , nikaona nimtolee uchovu nikamchana kipo napenda na kipi sipendi na pia nikahitaji awe na heshima kwa kauli zake ila kumalizia nikasema mimi nampenda sana na sitaacha kumtongoza .
Muda huo mfawidhi kakaa tu kimya anatusikiliza nacho kumbuka sikumaliza hata mwezi nikala uhamisho niko zangu huku na wanakijiji tunaenjoy pombe ya kienyeji ila yule bi mdashi hata tukutane wapi ananiheshimu sana .
Na hapendi hata tukae meza moja hata dakika kumi maana anahisi nitaanzisha ujinga.
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Lazima ukaeAMBA KATI ni nini?
Wanasema ukimvunjia mwanamke heshima huwa anajistukia na kujisikia mnyonge badala ya kukuchukia. Alafu hata ukimvunjia heshima kutokana na ujinga wake wewe kuwa kauzu tu mwenyewe tu anakosa amani badala ya weweMwanamke yeyote akiwa boss wako usijaribu kumuunderfear hata kidogo ukiweza mjibu kibabe na ukiona vipi siku mtongoze lengo akose confidence kwako .
Nilikuwa na mmama incharge alikuwa ana tuendesha sana kwenye kile kidepartment hasa kwa maneno ya ukali na amri zisizo na staha .
Basi siku moja nikaa bar nikawa na kikao na halmashauri ya kichwa changu juu yake , basi jibu likaja kuwa nikiendelea kumchekea kwa ukali mshenzi wake atanitesa sana , nikaamua kumuonesha kuwa simuogopi alafu sipendi kupelekeshwa kijinga .
Siku moja naingia job namalizia kusaini , naye ndiyo anafika eti ananiuliza kwahiyo siku hizi tunafika muda sawa ?
Nakumbuka nilimwambia wewe ulitakaje mrembo ? Kwanza akastuka mimi kumuita mrembo ilihali kwangu ni mmama , akasema unasemaje wewe mtoto nikasema una shida gani asubuhi hii yote mrembo ?
Nikaona walinzi na wafanyakazi wengine waliosikia majibizano yetu wakahamaki na yeye akakosa confidence akavunga akaenda ofisini kwake .
By saa nne kaniita ofisini kwake akiwa na Mfawidhi alafu akaanza kunichana kuwa pombe itaniharibia kazi , nikaona nimtolee uchovu nikamchana kipo napenda na kipi sipendi na pia nikahitaji awe na heshima kwa kauli zake ila kumalizia nikasema mimi nampenda sana na sitaacha kumtongoza .
Muda huo mfawidhi kakaa tu kimya anatusikiliza nacho kumbuka sikumaliza hata mwezi nikala uhamisho niko zangu huku na wanakijiji tunaenjoy pombe ya kienyeji ila yule bi mdashi hata tukutane wapi ananiheshimu sana .
Na hapendi hata tukae meza moja hata dakika kumi maana anahisi nitaanzisha ujinga.
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Kwanini mkuu Mgeni wa Jiji ukivaa pete ya ndoa inawaondolea kujikweza wanawake?Fanya kazi zako kwa weledi na umakini mkubwa sana Mkuu, usimzingatie tabia zake wewe kuwa mkimya (ila usiwe au usionekane kiburi).
Kama ni mzuri na ana chawa wake mfikisha habari hapo ofisni (hawezi kosekana). Epuka kuwa na maongezi juu yake, ila mfanye chawa wake ajue kuwa type yako ya wanawake ni tofauti na huyo kiongozi wenu, na wala hakushtui kabisa (kimaumbile sio kitabia).
Jambo lingine wewe fanya tu anavyotaka ila fanya kazi zako tu.
Kama ana mambo personal sana, Mkuu kanunue pete ya ndoa.uwe unaivaa na ajue unaivaa (hii kitu inawaondolea sana wanawake kujikweza).
kwasababu gani huwa hawajiamni?Wengi hao hawajiamini kbsa
hii kama ipo kwenye verse ya moja ya nyimbo za Prof JPigo hilo! Linaitwa Upper Cut ila sisi wabongo tunasema Amba Kati.
Ngumi inaanzia toka chini kuelekea juu mpka kwenye Kidevu cha Adui.
TULIOCHEZA BOXING TUNAJUA MAUMIVU YAKE.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue