Vato
JF-Expert Member
- Feb 15, 2009
- 249
- 139
Greetings wakuu wangu. Am interested ku computerize accounting system ya biashara yangu. Majibu ya maswali hapa chini pamoja na information/ ushauri wowote utakaotoa utanipa mwanga utakaonisaidia kufanya informed decision. Tnx in advance.
Unatumia accounting package gani??
Unaelezea vipi ufanisi katika utendaji kazi wake hususani mapungufu/ changamoto na strengths zake ni zipi??
Vipi kuhusu its degree of user friendliness??
Nilisoma kwenye review 1 kwenye mtandao kuwa Accounting package ya Quickbooks ni nzuri sana, je, ipo kwenye soko la Tanzania??
Kama nilivyosema najaribu kukusanya maoni anuai kisha nifanye informed decision ya aina gani ya Accounting Package ninunue na kutumia. Biashara nnayofanya inaangukia kwenye category ya SME na ndio ipo kwenye formative years sasa hivi. Asanteni.