Msaada wa Ushauri: To Any Practicing Accountant.

Msaada wa Ushauri: To Any Practicing Accountant.

Vato

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2009
Posts
249
Reaction score
139
Greetings wakuu wangu. Am interested ku computerize accounting system ya biashara yangu. Majibu ya maswali hapa chini pamoja na information/ ushauri wowote utakaotoa utanipa mwanga utakaonisaidia kufanya informed decision. Tnx in advance.

Unatumia accounting package gani??
Unaelezea vipi ufanisi katika utendaji kazi wake hususani mapungufu/ changamoto na strengths zake ni zipi??
Vipi kuhusu its degree of user friendliness??
Nilisoma kwenye review 1 kwenye mtandao kuwa Accounting package ya Quickbooks ni nzuri sana, je, ipo kwenye soko la Tanzania??

Kama nilivyosema najaribu kukusanya maoni anuai kisha nifanye informed decision ya aina gani ya Accounting Package ninunue na kutumia. Biashara nnayofanya inaangukia kwenye category ya SME na ndio ipo kwenye formative years sasa hivi. Asanteni.
 
Mkuu usipasue kichwa,tumia tally inakutosha tally ERP 9 inatosha kabisa.
 
tally wengi wanaijua,hizi package nyingine ukiwa na mhasibu anayeijua siku akikimbia unalo ndugu.tally inajulikana na wengi na ni nzuri tu mkuu
 
tally wengi wanaijua,hizi package nyingine ukiwa na mhasibu anayeijua siku akikimbia unalo ndugu.tally inajulikana na wengi na ni nzuri tu mkuu

Ok sawa, asante. Lakini mimi ndiyo nitakuwa incharge mwenyewe wa ku design accounting system na kuitumia, so risk na hofu ya kukimbiwa in this case is Nil...je, kwa kuzingatia hii fact bado unaendelea kushauri nitumie Tally??
Ok, nitaanza na Tally then bdae naweza ku switch to another package..
 
Mkuu usipasue kichwa,tumia tally inakutosha tally ERP 9 inatosha kabisa.

ok sawa, asante. Na je bei yake inaenda vp? Maduka gan yanauza hzo software za kihasibu?? Asante kwa info.
 
Ndg yangu Vato,bahati mbaya nilikuwa sijasoma hii thread yako naomba usiwe na haraka wapo wengi kama mm bado watakushauri, mm binafsi nimetumia quickbook tangu 1996 hadi sasa, sehemu ya mafanikio yangu yametokana na hiyo QuickBook na it si very much userfriend,ni mult user na huitaji mhasibu, binti wa std 7 aliye smart anatosha sana ku-post kila aina ya transaction, it has a lot of information,reports,graphs,controlling mechanism, na vile vile inapatikana madukani,aidha hata internet na inafaa sana kwa SME's na kwataarifa yako zote hizo nilishazitumia nilianza na MYOB -SAGE - PASTEL- TALLY na zingine kama tatu hv. of course haikosi mapungufu mfano kama una mult-warehouses, lkn bado wametoa Enterprise version inasupport hilo,,, uwamuzi ni wako.. bado watumiaji ni wengi (operators)yaani vyuo vingi vinafundisha QB ...
 
mi nakula tu hizo nondo endeleeni kumwaga facts,yani kama niko lecture vile
 
Binafsi nimetumia Tally, BaaN, SunSysten, PASTEL na Accpac.
Ukweli PASTEL na TALLY kidogo zina unafuu hata kwa kuzi-Master.
Zilizobaki hapo juu na nyinginezo zina mapungufu mbalimbali ya ki-ufanisi na ki-uhasibu.
 
endeleeni kujadili jamani na me napatja elimu hapa soon natarajia kuanzisha kampuni yangu binafsi endapo Mwenyezi Mungu akinijalia
 
Back
Top Bottom