Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Kuna mtu mmoja hivi kampenda rafiki yangu, hawajafanya lolote ila shida ni mke wa jamaa alikufa kwa ajali ya gari sasa huyo dada yupo njia panda anaogopa kama kitamtokea kama kilivyomtokea yule mama maaana kaacha mtoto wa miaka 2.
Hii inshu haijatungwa, tunaomba tumpe msaada aende au abaki.
Cc. National Anthem
Hii inshu haijatungwa, tunaomba tumpe msaada aende au abaki.
Cc. National Anthem